Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
Ni mawazo mazuri kabisa.
Sasa nani atakaye badili mfumo huu na kuusuka upya ??
Sisi wananchi ni lazzima tuanzishe midahalo ya makusudi katika kila mikusanyika yetu ya kawaida.
Dar kuna mikutano mingi sana binafsi 95%++++ ni ya Harusi Kitchen Party au aina yeyote ile ya kuselebuka na ujivuni kwamba pochi ipo.
Ni wakati sasa wa kuanza kuwa na mikutano ya kujadili mabadiliko ya kweli jijini Dar.
Sivyo, tusitarajie chochote kutoka kwa wanasiasa wetu. Wengi njaa na choyo nicho kimewapelekea kuwa wanasiasa.
MIMI na WEWE tukikaa pamoja jioni baada ya kuwa kwenye foleni ndefu na kuvinjari jiji chafu tunafanya nini katika kutoa mchango wetu??
Mwenendo mzima wa jiji la Dar ni reflection ya mawazo na vitendo vya wana Dar wenyewe.
Hakuna mwana Dar asiyechangia UOVYO wa JIJI la DAR.

Vurugu ziliziopo Dar es Salaam ni kushindwa kwa mfumo wa uongozi,inabidi kutengeneza mfumo mpya! Dar imeelemewa na foleni za barabarani, uchafu,ujenzi holela,makelele yasiyo ratibiwa kutoka ktk nyumba za Ibada,Bar na Kumbi za Starehe,ujambazi,ukosefu wa maji safi na salama,miundombinu ya majitaka,nk! Lakini kuna watu wengi kuanzia RC,DCs,Wakuregenzi wa Manispaa,Mameya,nk ambao wanalipwa lakini hawana kazi ya maana wanafanya!