Tuna matatizo makubwa sana ya kufikiri. Sasa tuna matatizo makubwa zaidi ya kutotambua kuwa hapa mambo yameharibika. Kwamba tuko uchi na wenzetu wanatucheka sana. Kwamba wanaotuletea miradi hii ya kipuuzi mbavu zinavunjika kwa kutucheka. Halafu kuna watu na akili zao wanasifia sisi kuanikwa uchi hivi. Kwa sababu vurugu za Strabarg ndicho kielelezo cha ufahamu na ustaarabu wetu. Wafugaji wa mbwa wako wengi tu, lakini mbwa wa mstaarabu anakuwa kapendeza na anaweza kutembea naye barabarani. Sisi tumemchukua mbwa koko anayeumwa na tunatembea naye barabarani kwa furaha tukipiga mluzi! Its pathetic!Kweli kaka mi nlishangaa sana kuona heti hii ndo mbadala wa kupunguza foleni kweli uwezo wetu wa kufikir unapungua kila siku
Nipo barabarani kutokea kimara kuelekea mjini. Njiani ni balaa tupu kwa sababu kuna michepuko ya barabara isiyo na alama yoyote. Nimeingia barabara moja nikaenda kama kilometa 3 nikakuta kizuizi. Ikabidi nirudi tena nilikotoka. Kilometa 3! Nikatafuta sehemu nyingine ya kuingilia na baada ya muda nikagundua nimepotea tena. Tupo wengi
tunaopotea; kwani hakuna alama yoyote kuonyesha mwelekeo ni upi.
Nimechukua masaa mawili kufika maeneo ya ubungo. Hapo nimekuta chaos! chaos! chaos! Haijulikani magari yanaelekea mwelekeo upi! Magari na malori yamekutana uso kwa uso kila mahali na kuzifunga barabara. Huwezi kuamini kuwa hii ni nchi ya kistaarabu hata kidogo. Hakuna mataa na hakuna askari wa kuyaongoza magari yanayopita ovyo na mwishowe kuyabana magari mengine. Sote tumesimama.
Najiuliza: hivi hawa wakubwa wana habari jinsi nchi inavyosulubiwa? Wana habari kuwa tumegeuzwa vichekesho? Je wana habari kuwa huko Ujerumani inakotoka kampuni haiwezekani kufanyika kitu kama hiki na wakapona? Wana habari kuwa viongozi wote waliohusika kuleta upuuzi huu wanaweza kufutwa kazi immediately? Na Uchina viongozi na watendaji waliofanya hii kandarasi ya kiwendawazimu wangenyongwa?
Lakini kwetu ni business as usual. Kila kitu kiko sawa tu. Hakuna anayejali. Badala yake vinaonyeshwa vipindi vya tv kusifia huu upuuzi!
Na kinachoudhi zaidi ni kwamba huu mradi ni wa ulaji tu. Hakuna kitakachosaidia kupunguza foleni kwa kujenga barabara maalum ya mabasi yaendayo kasi. Wakubwa wetu hawajui kuwa wanaopanda magari yao binafsi hawatasubstitute magari yao kwa kupanda mabasi yanayonuka. No. Wataendelea kuendesha magari yao na foleni itaongezeka pia. Wakati wenzetu wanajenga miundombinu ya karne ya 22 sisi tunajenga barabara maalumu ya mabasi! Mungu tusaidie! Kwani hawa wenzetu wakienda kutembea huko nje kila siku hawaoni kinachoendelea huko au alimradi wapate chao mfukoni kwa kuleta miradi aghali na ya kipuuzi isiyo na tija kwetu? Hata wao wanajua huu mradi ni danganya toto tu na ndio maana hata Prof. Tibaijuka alisema huu mradi hauwezi kuondoa foleni! Sasa kama hata yeye anajua hivo huu mradi ni kwa faida ya nani? Kwa nini tutaabike hivi kwa mradi ambao we know for sure it is useless? Nawaonea huruma watu wangu!
Sijamlaumu mkandarasi katika uzi huu. Nimeulaumu uongozi wetu Watanzania ambao unakubali kuingia mkataba wa ovyo kama huu. Mkandarasi anatekeleza sehemu yake ya makubaliano tu na kucheka akituona tunavonyanyasika. Kwao Ujerumani haiwezi kutokea haya yote kwa sababu watu si wajinga kama sisi. Wanatumia tafakuri ya uhakika kuplan miradi yao. Tafakuri yenye maono.Jana pia Ndg Kibonde alijaribu kujadili suala hili katika kipindi cha Jahazi, lakini tatizo tulilo nalo watanzania wengi ni kumlaumu mtu wa mwisho macho yetu yanayomuona site pasipo yaani Mkandarasi (STRABAG) pasipo kujua orodha ya wadau wa miradi huo na majukumu ya kila mdau katika kufanikisha mradi huo.
Mradi kama huo wa DART una wadau lukuki wakiwemo:-
- Serikali ya Tanznaia (Client) wajibu wake ni kuonyesha ardhi na kuandaa mazingira ya kutekeleza mradi kwa mujibu wa mikataba na sheria za kimataifa na sio tunavyotaka sisi watanzania.
- Benki ya Dunia (Financier) mtoa fedha, anayetoa fedha kwa masharti yaliyomo ndani ya mikataba.
- Consultant wajibu wake kutayarisha mchoro wa ujenzi, gharama za mradi, kutangaza tenda ili kupata wakandarasi mbali mbali.
- Strabag Contactor mjenzi kazi yake ni kujenga kilichomo katika michoro tu.
Hivyo masahibu yote yanayotukuta si wajibu wa Mjenzi bali ni wajibu wa Serikali yenu ambayo imeshindwa kuandaa mazingira mazuri ya utekelezaji wa mradi huo. Ni dhahiri kuwa kuandaa mazingira ya utekelezaji wa mradi huo huchukua muda mrefu sana.
Waziri Kawambwa alipokuwa Waziri wa Ujenzi alikuwa akitekeleza mradi huo kwa mujibu wa sheria za kimataifa na hivyo kuandaa mazingira mazuri ya utekelezaji wake kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Lakini alipoletwa Mhe Magufuli kuwa Waziri wa Ujenzi akataka kumuonyesha kuwa mwenzie hajui kazi akamachukua Mkandasarasi yaani Strabag na kumuingiza site kichwa kichwa pasipo kuilipa Tanesco na DAWASA fidia ili waondoe nguzu na umeme na mabomba ya maji.
Matokeo yake ni mkandarasi kuanza kazi na kukuta kuwa hawezi kutengeneza diversion kwa sababu nguzu za umeme na mabomba ya maji havikuondolewa. Nani wa kumluamu? Ni Strabag au sisi wenyewe kwa utendaji wetu wa kibabe?.
Jana Kibonde alikuwa anahoji kwanini Strabag hafanyi kazi usiku? Haya mambo hayaendeshwi kienyeji. Wakati wa kujaza tendi ndipo mkandarasi anaoanisha gharama zake na muda wa kumaliza kazi kwa mujibu wa sheria za ajira za kimataifa na nchi husika. Hivyo kuwafanyisha wafanyakazi kazi usiku lazima kuna cost implications zake za kuwalipa wafanyakazi overtime, gharama za umeme mafuta ya generator n.k ambavyo mkandarasi hakitarajia wakati anajaza tenda na kushinda kwa kuwa alijua atafanya kazi katika mazingira ya kila mdau kutimiza wajibu wake ikiwemo Serikali kuilipa fidia Tanesco na Dawasa fidia ili waondoe mabomba nguzo za umeme ili babarabara za diversion zoiweze kutengenezwa na kila kitu kwenda kama kilivyotarajiwa.Ni mara ngapi tumesikia Mhe Magufuli akilumabana msemaji wa Tanesco Nd Badra Masudi kuhusu TaNESCO KULIPWA FIDIA ILI WAONDOE NGUZO ZA UMEME?
Wahusika hawatatujali kwa vile wao wanatembea na vin'gora ambavyo vinalazimisha msafara kupita salama ole wako mlipa kodi!Nipo barabarani kutokea kimara kuelekea mjini. Njiani ni balaa tupu kwa sababu kuna michepuko ya barabara isiyo na alama yoyote. Nimeingia barabara moja nikaenda kama kilometa 3 nikakuta kizuizi. Ikabidi nirudi tena nilikotoka. Kilometa 3! Nikatafuta sehemu nyingine ya kuingilia na baada ya muda nikagundua nimepotea tena. Tupo wengi
tunaopotea; kwani hakuna alama yoyote kuonyesha mwelekeo ni upi.
Nimechukua masaa mawili kufika maeneo ya ubungo. Hapo nimekuta chaos! chaos! chaos! Haijulikani magari yanaelekea mwelekeo upi! Magari na malori yamekutana uso kwa uso kila mahali na kuzifunga barabara. Huwezi kuamini kuwa hii ni nchi ya kistaarabu hata kidogo. Hakuna mataa na hakuna askari wa kuyaongoza magari yanayopita ovyo na mwishowe kuyabana magari mengine. Sote tumesimama.
Najiuliza: hivi hawa wakubwa wana habari jinsi nchi inavyosulubiwa? Wana habari kuwa tumegeuzwa vichekesho? Je wana habari kuwa huko Ujerumani inakotoka kampuni haiwezekani kufanyika kitu kama hiki na wakapona? Wana habari kuwa viongozi wote waliohusika kuleta upuuzi huu wanaweza kufutwa kazi immediately? Na Uchina viongozi na watendaji waliofanya hii kandarasi ya kiwendawazimu wangenyongwa?
Lakini kwetu ni business as usual. Kila kitu kiko sawa tu. Hakuna anayejali. Badala yake vinaonyeshwa vipindi vya tv kusifia huu upuuzi!
Na kinachoudhi zaidi ni kwamba huu mradi ni wa ulaji tu. Hakuna kitakachosaidia kupunguza foleni kwa kujenga barabara maalum ya mabasi yaendayo kasi. Wakubwa wetu hawajui kuwa wanaopanda magari yao binafsi hawatasubstitute magari yao kwa kupanda mabasi yanayonuka. No. Wataendelea kuendesha magari yao na foleni itaongezeka pia. Wakati wenzetu wanajenga miundombinu ya karne ya 22 sisi tunajenga barabara maalumu ya mabasi! Mungu tusaidie! Kwani hawa wenzetu wakienda kutembea huko nje kila siku hawaoni kinachoendelea huko au alimradi wapate chao mfukoni kwa kuleta miradi aghali na ya kipuuzi isiyo na tija kwetu? Hata wao wanajua huu mradi ni danganya toto tu na ndio maana hata Prof. Tibaijuka alisema huu mradi hauwezi kuondoa foleni! Sasa kama hata yeye anajua hivo huu mradi ni kwa faida ya nani? Kwa nini tutaabike hivi kwa mradi ambao we know for sure it is useless? Nawaonea huruma watu wangu!
Ulizia zilitumika bilioni ngapi kuvitengeneza! You will be very surprised, malafyale! And no one cares. Niliwahi kulihoji jambo hilo. Jasho lilinitoka
Barabara inayotoka akiba mpaka kimara nakuendelea kwenda bara
Huu mradi hauko chini ya Wizara ya Ujenzi, mradi huu ni maalumu uko Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Je, ni another Richmond?
Mimi kinachoniua ni zege linalomwagwa....cost for nothing...wangetengenza rami fresh wakapaka rangi ikawa njia ya mabadi tu....alafu barabara ya magari mengine wameibana sana wakati eneo nje ya barabara lipo...sijui plan zingine zikoje, .miaka 50 ijayo wataotindua hilo zege kubadili plan (may be kuweka rails) watakuwa na kazi....Mungu atusaidie kwa kweli.....
Jana pia Ndg Kibonde alijaribu kujadili suala hili katika kipindi cha Jahazi, lakini tatizo tulilo nalo watanzania wengi ni kumlaumu mtu wa mwisho macho yetu yanayomuona site pasipo yaani Mkandarasi (STRABAG) pasipo kujua orodha ya wadau wa miradi huo na majukumu ya kila mdau katika kufanikisha mradi huo.
Mradi kama huo wa DART una wadau lukuki wakiwemo:-
- Serikali ya Tanznaia (Client) wajibu wake ni kuonyesha ardhi na kuandaa mazingira ya kutekeleza mradi kwa mujibu wa mikataba na sheria za kimataifa na sio tunavyotaka sisi watanzania.
- Benki ya Dunia (Financier) mtoa fedha, anayetoa fedha kwa masharti yaliyomo ndani ya mikataba.
- Consultant wajibu wake kutayarisha mchoro wa ujenzi, gharama za mradi, kutangaza tenda ili kupata wakandarasi mbali mbali.
- Strabag Contactor mjenzi kazi yake ni kujenga kilichomo katika michoro tu.
Hivyo masahibu yote yanayotukuta si wajibu wa Mjenzi bali ni wajibu wa Serikali yenu ambayo imeshindwa kuandaa mazingira mazuri ya utekelezaji wa mradi huo. Ni dhahiri kuwa kuandaa mazingira ya utekelezaji wa mradi huo huchukua muda mrefu sana.
Waziri Kawambwa alipokuwa Waziri wa Ujenzi alikuwa akitekeleza mradi huo kwa mujibu wa sheria za kimataifa na hivyo kuandaa mazingira mazuri ya utekelezaji wake kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Lakini alipoletwa Mhe Magufuli kuwa Waziri wa Ujenzi akataka kumuonyesha kuwa mwenzie hajui kazi akamachukua Mkandasarasi yaani Strabag na kumuingiza site kichwa kichwa pasipo kuilipa Tanesco na DAWASA fidia ili waondoe nguzu na umeme na mabomba ya maji.
Matokeo yake ni mkandarasi kuanza kazi na kukuta kuwa hawezi kutengeneza diversion kwa sababu nguzu za umeme na mabomba ya maji havikuondolewa. Nani wa kumluamu? Ni Strabag au sisi wenyewe kwa utendaji wetu wa kibabe?.
Jana Kibonde alikuwa anahoji kwanini Strabag hafanyi kazi usiku? Haya mambo hayaendeshwi kienyeji. Wakati wa kujaza tendi ndipo mkandarasi anaoanisha gharama zake na muda wa kumaliza kazi kwa mujibu wa sheria za ajira za kimataifa na nchi husika. Hivyo kuwafanyisha wafanyakazi kazi usiku lazima kuna cost implications zake za kuwalipa wafanyakazi overtime, gharama za umeme mafuta ya generator n.k ambavyo mkandarasi hakitarajia wakati anajaza tenda na kushinda kwa kuwa alijua atafanya kazi katika mazingira ya kila mdau kutimiza wajibu wake ikiwemo Serikali kuilipa fidia Tanesco na Dawasa fidia ili waondoe mabomba nguzo za umeme ili babarabara za diversion zoiweze kutengenezwa na kila kitu kwenda kama kilivyotarajiwa.Ni mara ngapi tumesikia Mhe Magufuli akilumabana msemaji wa Tanesco Nd Badra Masudi kuhusu TaNESCO KULIPWA FIDIA ILI WAONDOE NGUZO ZA UMEME?
Mkuu sijakuelewa hii maana yake nini? barabara ya morogoro road.
Pro-Chadema kupinga kila kitu Strabarg wanafanya kazi mazingira yanawasumbua.
Na barabara inayotokea Samora Ave. hadi Akiba inaitwaje vile?
Inawezekana watu mnapotea kwa kutoujua mji tu, Strabag being a silly excuse...
Kwanza barabara ya morogoro road ni nyembamba sana, hata kuna muda ukiwa unataka kulipita gari kubwa mfano lorry, kama ukiwa ubavuni na mumefika kwenye corner inabidi mwenye gari dogo utulie maana ukiendelea unawezatolewa kwenye njia...
Pia barabara haina emergency exist mfano gari likikuharibikia mitaa ya rombo itabidi ulisukume mpaka ubungo ndio lihame njia.....
Alaf ujenzi ni wakusuasua sana, maana njia ambayo ipo busy dar nzima kama hiyo ilitakiwa ujenzi wake huwe waakili ya hali ya juu.....wafanye kazi usiku na mchana, sasa wenyewe usiku wanalala
Hapo ndio mtaelewa kwanini walifukuzwa kenya, hawa strabag wangebaki kenya zile flyover na thika road (highway) wangevisikia kwenye bomba