mwanamakambako
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 780
- 120
Huu mradi mimi mwenyewe siuelewi, ujenzi gani miaka kadhaa hauishi, nchi inaongozwa na watu wasio fikiri, huo mradi hauna maana kwa sasa, kwani suala la foleni litabaki palepale.
nimeangalia hoja na spelling, ukumbuke kiandikwacho hapa ni kumbukumbu,usiwe kama wale wanaojificha kwenye kichaka cha MFUMO MBOVU,hata mimi nikikosea nisahihishe na huo ndo uungwana
Pro-Chadema kupinga kila kitu Strabarg wanafanya kazi mazingira yanawasumbua.
Ritz hii haina itikadi?kwani so called ccm wanapita wapi?ungekuwa kwenye hii foleni leo nadhani usingesema hivyo
Katika hili Ritz si uongo yuko offline.
Barabara hizi za Brt/Dart we ita upendavyo, mamlaka husika zimechemsha,utafikiri shule zote walizoenda hazina maana.
Ni kweli Tanzania ni kubwa sana na wala si Dar kama baadhi ya viongozi/watawala wetu wanachukulia. Lakini kuna ukweli Dar ni kioo cha nchi yetu! Tunazungunzia kufail kufikia viwango kwa project moja kubwa itakayo swinda kiasi kikubwa cha pesa za walipa kodi wa Tanzania.
Mchana wa leo nilikua najiuliza,hivi ktk kipindi tunapowaza kwamba pengine matatizo ya aina hii ni kama laana utawala wa nchi hii kwanini wasiombe ushauri kwa akina Charles Keenja na Makamishina wenzake ktk iliyokuwa Tume ya Jiji ambayo ilifanya kazi kubwa na hata yale yaliyofikiriwa hayawezekani??
Uwezekano ni mkubwa kuwa hawana kosa lolote ila makosa yako kwenye serikali yetu. Watu wengi hawajui au kutambua; lakini mradi huu umetudhalilisha sana sana sana! Tunaonekana kama wendawazimu fulani. Magufuli kafanya nini na makelele yake? Nothing! Wakubwa wetu hawapiti barabara hizi: wao wanapita selander bridge tu na kuingia oysterbay wakitumia V8 tulizozilipia kwa jasho na damu yetu!Huu mradi wa dart ni majanga.
Nadhani wanadarisalama tu wavumilivu sana. Usumbufu wanaoleta hawa jamaa, ilibidi wapigwe faini ya kufa mtu watie akili.
.......
Mradi kama huo wa DART una wadau lukuki wakiwemo:-
- Serikali ya Tanznaia (Client) wajibu wake ni kuonyesha ardhi na kuandaa mazingira ya kutekeleza mradi kwa mujibu wa mikataba na sheria za kimataifa na sio tunavyotaka sisi watanzania.
- Benki ya Dunia (Financier) mtoa fedha, anayetoa fedha kwa masharti yaliyomo ndani ya mikataba.
- Consultant wajibu wake kutayarisha mchoro wa ujenzi, gharama za mradi, kutangaza tenda ili kupata wakandarasi mbali mbali.
- Strabag Contactor mjenzi kazi yake ni kujenga kilichomo katika michoro tu.
Hivyo masahibu yote yanayotukuta si wajibu wa Mjenzi bali ni wajibu wa Serikali yenu ambayo imeshindwa kuandaa mazingira mazuri ya utekelezaji wa mradi huo. Ni dhahiri kuwa kuandaa mazingira ya utekelezaji wa mradi huo huchukua muda mrefu sana.
Waziri Kawambwa alipokuwa Waziri wa Ujenzi alikuwa akitekeleza mradi huo kwa mujibu wa sheria za kimataifa na hivyo kuandaa mazingira mazuri ya utekelezaji wake kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Lakini alipoletwa Mhe Magufuli kuwa Waziri wa Ujenzi akataka kumuonyesha kuwa mwenzie hajui kazi akamachukua Mkandasarasi yaani Strabag na kumuingiza site kichwa kichwa pasipo kuilipa Tanesco na DAWASA fidia ili waondoe nguzu na umeme na mabomba ya maji.
Matokeo yake ni mkandarasi kuanza kazi na kukuta kuwa hawezi kutengeneza diversion kwa sababu nguzu za umeme na mabomba ya maji havikuondolewa. Nani wa kumluamu? Ni Strabag au sisi wenyewe kwa utendaji wetu wa kibabe?.
Jana Kibonde alikuwa anahoji kwanini Strabag hafanyi kazi usiku? Haya mambo hayaendeshwi kienyeji. Wakati wa kujaza tendi ndipo mkandarasi anaoanisha gharama zake na muda wa kumaliza kazi kwa mujibu wa sheria za ajira za kimataifa na nchi husika. Hivyo kuwafanyisha wafanyakazi kazi usiku lazima kuna cost implications zake za kuwalipa wafanyakazi overtime, gharama za umeme mafuta ya generator n.k ambavyo mkandarasi hakitarajia wakati anajaza tenda na kushinda kwa kuwa alijua atafanya kazi katika mazingira ya kila mdau kutimiza wajibu wake ikiwemo Serikali kuilipa fidia Tanesco na Dawasa fidia ili waondoe mabomba nguzo za umeme ili babarabara za diversion zoiweze kutengenezwa na kila kitu kwenda kama kilivyotarajiwa.Ni mara ngapi tumesikia Mhe Magufuli akilumabana msemaji wa Tanesco Nd Badra Masudi kuhusu TaNESCO KULIPWA FIDIA ILI WAONDOE NGUZO ZA UMEME?
..........Mradi kama huo wa DART una wadau lukuki wakiwemo:-
- Serikali ya Tanznaia (Client) wajibu wake ni kuonyesha ardhi na kuandaa mazingira ya kutekeleza mradi kwa mujibu wa mikataba na sheria za kimataifa na sio tunavyotaka sisi watanzania.
- Benki ya Dunia (Financier) mtoa fedha, anayetoa fedha kwa masharti yaliyomo ndani ya mikataba.
- Consultant wajibu wake kutayarisha mchoro wa ujenzi, gharama za mradi, kutangaza tenda ili kupata wakandarasi mbali mbali.
- Strabag Contactor mjenzi kazi yake ni kujenga kilichomo katika michoro tu.
............Hivyo masahibu yote yanayotukuta si wajibu wa Mjenzi bali ni wajibu wa Serikali yenu ambayo imeshindwa kuandaa mazingira mazuri ya utekelezaji wa mradi huo. Ni dhahiri kuwa kuandaa mazingira ya utekelezaji wa mradi huo huchukua muda mrefu sana.....
.........Waziri Kawambwa alipokuwa Waziri wa Ujenzi alikuwa akitekeleza mradi huo kwa mujibu wa sheria za kimataifa na hivyo kuandaa mazingira mazuri ya utekelezaji wake kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Lakini alipoletwa Mhe Magufuli kuwa Waziri wa Ujenzi akataka kumuonyesha kuwa mwenzie hajui kazi akamachukua Mkandasarasi yaani Strabag na kumuingiza site kichwa kichwa pasipo kuilipa Tanesco na DAWASA fidia ili waondoe nguzu na umeme na mabomba ya maji.....
..........Jana Kibonde alikuwa anahoji kwanini Strabag hafanyi kazi usiku? Haya mambo hayaendeshwi kienyeji. Wakati wa kujaza tendi ndipo mkandarasi anaoanisha gharama zake na muda wa kumaliza kazi kwa mujibu wa sheria za ajira za kimataifa na nchi husika. Hivyo kuwafanyisha wafanyakazi kazi usiku lazima kuna cost implications zake za kuwalipa wafanyakazi overtime, gharama za umeme mafuta ya generator n.k ambavyo mkandarasi hakitarajia wakati anajaza tenda na kushinda kwa kuwa alijua atafanya kazi katika mazingira ya kila mdau kutimiza wajibu wake ikiwemo Serikali kuilipa fidia Tanesco na Dawasa fidia ili waondoe mabomba nguzo za umeme ili babarabara za diversion zoiweze kutengenezwa na kila kitu kwenda kama kilivyotarajiwa.Ni mara ngapi tumesikia Mhe Magufuli akilumabana msemaji wa Tanesco Nd Badra Masudi kuhusu TaNESCO KULIPWA FIDIA ILI WAONDOE NGUZO ZA UMEME?
Acha kutetea upumbavu.... Umeshasikia majiji kama London, New York, Paris na Munich watu wanatumia masaa zaidi ya mawili kufika makazini,,,,, yaan watanzania wengine n makondoo ambayo yanaswagwa hata hayajui yanapelekwa wapi? Hiyo barabara ni kichekesho na hakuna sehem yoyote duniani mabasi hayo eti yaendayo kasi yakatengenezewa barabara yake,,, Hilo bus lililoonyeshwa ni sawa na yanayotumka ulaya na yanatumia barabara moja kama magari mengine.... Ni upuuzi mtupu
....... mamlaka husika zimechemsha,utafikiri shule zote walizoenda hazina maana.
Acha kutetea upumbavu.... Umeshasikia majiji kama London, New York, Paris na Munich watu wanatumia masaa zaidi ya mawili kufika makazini,,,,, yaan watanzania wengine n makondoo ambayo yanaswagwa hata hayajui yanapelekwa wapi? Hiyo barabara ni kichekesho na hakuna sehem yoyote duniani mabasi hayo eti yaendayo kasi yakatengenezewa barabara yake,,, Hilo bus lililoonyeshwa ni sawa na yanayotumka ulaya na yanatumia barabara moja kama magari mengine.... Ni upuuzi mtupu