Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,147
- 26,477
Haijawahi kutokea "mamlaka " ikasema chanzo cha ajali ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu.
Mitaani na barabara kuu, TANROAD wanapata hela kutoka mafuta tunayoweka kwenye magari, yet hawazibi mashimo.
Mitaani wanaweka bumps, lakini hawaweki alama, ajali za kupinduka.
Madaraja membamba na kwenye miteremko, hawajali.
Mataa hayawaki barabarani kama Morroco, Biafra, Mwenge, watu wanapiga ajali kila siku, hakuna anay