Barabara ya Strabarg: Kielelezo cha ujinga wetu!

Acha dharau nawewe,nami pia yalinikuta hayo hayo pale korogwe,naenda kimara nikakutana na magari yanyotoka kimara tukazibiana njia,hakuna mahali pa kupita kwa masatuko pale.Fikiria hata askari hakuna na alama pia hakuna.Hao mgambo wa kampuni wanaziba viupenyo vyovyote ili tuwape pesa ndo wafungue.Jiulize kama njia inafaa kutumika jioni kwann wasiifungue japo kwa muda tu?Inabidi tuamke watz tunateswa sana
Wengi yametukuta sana. Unatakiwa umhonge mgambo ili afungue kizuizi chake na hii inatokea chinj ya pua ya Magufuli and yet hakuna kinachofanyika
 
Ki ukweli, ile barabara ni nymembamba sana, sijui hivi vipimo ndo vya kimataifa?? au ni kubana matumizi??
 
Hapana Ritz,lipo tatizo.
Siyo kwamba lipo tatizo bali lipo tatizo kubwa sana. Tunaongozwa na watu wenye weledi mdogo sana. Hawataki kutumia bongo zao kwa kufikiria mambo mazito. Wakiona mzungu kawapa wazo basi wanalichukua kama lilivo bila kutafakari. Huwezi amini bali mimi naamini kwenye chama cha CCM kuna watu wenye tafakuri nzuri kuliko walioko serikalini
 
Nipo barabarani kutokea kimara kuelekea mjini. Njiani ni balaa tupu kwa sababu kuna michepuko ya barabara isiyo na alama yoyote. Nimeingia barabara moja nikaenda kama kilometa 3 nikakuta kizuizi. Ikabidi nirudi tena nilikotoka. Kilometa 3! Nikatafuta sehemu nyingine ya kuingilia na baada ya muda nikagundua nimepotea tena. Tupo wengi
tunaopotea; kwani hakuna alama yoyote kuonyesha mwelekeo ni upi.
Nimechukua masaa mawili kufika maeneo ya ubungo. Hapo nimekuta chaos! chaos! chaos! Haijulikani magari yanaelekea mwelekeo upi! Magari na malori yamekutana uso kwa uso kila mahali na kuzifunga barabara. Huwezi kuamini kuwa hii ni nchi ya kistaarabu hata kidogo. Hakuna mataa na hakuna askari wa kuyaongoza magari yanayopita ovyo na mwishowe kuyabana magari mengine. Sote tumesimama.
Najiuliza: hivi hawa wakubwa wana habari jinsi nchi inavyosulubiwa? Wana habari kuwa tumegeuzwa vichekesho? Je wana habari kuwa huko Ujerumani inakotoka kampuni haiwezekani kufanyika kitu kama hiki na wakapona? Wana habari kuwa viongozi wote waliohusika kuleta upuuzi huu wanaweza kufutwa kazi immediately? Na Uchina viongozi na watendaji waliofanya hii kandarasi ya kiwendawazimu wangenyongwa?
Lakini kwetu ni business as usual. Kila kitu kiko sawa tu. Hakuna anayejali. Badala yake vinaonyeshwa vipindi vya tv kusifia huu upuuzi!
Na kinachoudhi zaidi ni kwamba huu mradi ni wa ulaji tu. Hakuna kitakachosaidia kupunguza foleni kwa kujenga barabara maalum ya mabasi yaendayo kasi. Wakubwa wetu hawajui kuwa wanaopanda magari yao binafsi hawatasubstitute magari yao kwa kupanda mabasi yanayonuka. No. Wataendelea kuendesha magari yao na foleni itaongezeka pia. Wakati wenzetu wanajenga miundombinu ya karne ya 22 sisi tunajenga barabara maalumu ya mabasi! Mungu tusaidie! Kwani hawa wenzetu wakienda kutembea huko nje kila siku hawaoni kinachoendelea huko au alimradi wapate chao mfukoni kwa kuleta miradi aghali na ya kipuuzi isiyo na tija kwetu? Hata wao wanajua huu mradi ni danganya toto tu na ndio maana hata Prof. Tibaijuka alisema huu mradi hauwezi kuondoa foleni! Sasa kama hata yeye anajua hivo huu mradi ni kwa faida ya nani? Kwa nini tutaabike hivi kwa mradi ambao we know for sure it is useless? Nawaonea huruma watu wangu!
kunywa sumu uondokane na matatizo.
 
Uchumi unayumba kwa sababu watu wantumia mda mwingi kukaa barabarani,. Huwa najihurumia na kuihurumia nchi yangu na watu wake. Mtu kwa sehemu kama Dar atapaswa aamke saa 10 ili kuwahi usafiri na foreni pamoja na kuwahi kote atafika kazini kwake saa 3, na kurudi hivyohivyo! Sijivunii kuwa Mtanzania bali mavumilia kuwa Mtanzania...
 
Siyo kwamba lipo tatizo bali lipo tatizo kubwa sana. Tunaongozwa na watu wenye weledi mdogo sana. Hawataki kutumia bongo zao kwa kufikiria mambo mazito. Wakiona mzungu kawapa wazo basi wanalichukua kama lilivo bila kutafakari. Huwezi amini bali mimi naamini kwenye chama cha CCM kuna watu wenye tafakuri nzuri kuliko walioko serikalini

uko sahihi mkuu
 
Nipo barabarani kutokea kimara kuelekea mjini. Njiani ni balaa tupu kwa sababu kuna michepuko ya barabara isiyo na alama yoyote. Nimeingia barabara moja nikaenda kama kilometa 3 nikakuta kizuizi. Ikabidi nirudi tena nilikotoka. Kilometa 3! Nikatafuta sehemu nyingine ya kuingilia na baada ya muda nikagundua nimepotea tena. Tupo wengi
tunaopotea; kwani hakuna alama yoyote kuonyesha mwelekeo ni upi.
Nimechukua masaa mawili kufika maeneo ya ubungo. Hapo nimekuta chaos! chaos! chaos! Haijulikani magari yanaelekea mwelekeo upi! Magari na malori yamekutana uso kwa uso kila mahali na kuzifunga barabara. Huwezi kuamini kuwa hii ni nchi ya kistaarabu hata kidogo. Hakuna mataa na hakuna askari wa kuyaongoza magari yanayopita ovyo na mwishowe kuyabana magari mengine. Sote tumesimama.
Najiuliza: hivi hawa wakubwa wana habari jinsi nchi inavyosulubiwa? Wana habari kuwa tumegeuzwa vichekesho? Je wana habari kuwa huko Ujerumani inakotoka kampuni haiwezekani kufanyika kitu kama hiki na wakapona? Wana habari kuwa viongozi wote waliohusika kuleta upuuzi huu wanaweza kufutwa kazi immediately? Na Uchina viongozi na watendaji waliofanya hii kandarasi ya kiwendawazimu wangenyongwa?
Lakini kwetu ni business as usual. Kila kitu kiko sawa tu. Hakuna anayejali. Badala yake vinaonyeshwa vipindi vya tv kusifia huu upuuzi!
Na kinachoudhi zaidi ni kwamba huu mradi ni wa ulaji tu. Hakuna kitakachosaidia kupunguza foleni kwa kujenga barabara maalum ya mabasi yaendayo kasi. Wakubwa wetu hawajui kuwa wanaopanda magari yao binafsi hawatasubstitute magari yao kwa kupanda mabasi yanayonuka. No. Wataendelea kuendesha magari yao na foleni itaongezeka pia. Wakati wenzetu wanajenga miundombinu ya karne ya 22 sisi tunajenga barabara maalumu ya mabasi! Mungu tusaidie! Kwani hawa wenzetu wakienda kutembea huko nje kila siku hawaoni kinachoendelea huko au alimradi wapate chao mfukoni kwa kuleta miradi aghali na ya kipuuzi isiyo na tija kwetu? Hata wao wanajua huu mradi ni danganya toto tu na ndio maana hata Prof. Tibaijuka alisema huu mradi hauwezi kuondoa foleni! Sasa kama hata yeye anajua hivo huu mradi ni kwa faida ya nani? Kwa nini tutaabike hivi kwa mradi ambao we know for sure it is useless? Nawaonea huruma watu wangu!
MKUU UMENENA KWELI, ujinga wa nchi kama nchi unaonekana katika utekelezaji wa barabara hii inayojengwa na Strabag.

Haingii akilini kwa mradi kubwa unao tifua jiji zima ukafanya bila kuzingatia awamu za utekelezaji.
Tunaweza kumlaumu Strabag lakini kosa la kupanga na kupanga utekekezaji ni kwa maelekezo ya "wataakam" wetu nvhini ambao hawafanyi kazi yao ipasavyo.Kila siku ni vikao visivyokwisha na hatimaye kila mtu kukwepa wajibu wake.
Katika mradi huu wa BRT yafuatayo sasa yamejulikana:
  • hapakuwa na execution plans zozote kwa maana ya michoro ya usanifu wa barabars yenyewe
  • wakandarasi, akiwemo strabag waliajiriwa bila matayarisho yote ya ujenzi kukamilika
  • wasimamizi wa mradi kwa upande wa serikali waliajiriwa BAADA ya wakandarasi kupewa zabuni
  • wakandarasi karibu wote wametifua tifua jiji zima ili tu waonekane wanafanya kazi lakini kazi yenyewe ndio kama tunavyoiona
  • hata viongozi wa mradi wenyewe inaelelekea walizipata nafasi hizo kwa ajili ya ulaji tu, na hata Waziri wa Ujenzi aliwahi kuwalalamikia mbele ya Rais, na wengine wametimuliwa, lakini its almost too late to rectify the damage done
  • sasa hivi ni wazi kuwa kwa miradi mikubwa itakayotekelezwa kwa kushirikisha wizari ya TAMISEMI, miradi hiyo itashindwa tu, na mradi huu ni kielelezo, Halmashauri ya jiji la DSM halijawahi kuendesha mradi wowote kwa ufanisi, nia na uwezo huo hawana.
Kwa mtaji huo hapo juu, hata mradi wenyewe ukikamilika, mimi binafsi sina mategemeo sana ya kuona mafanikio.
Hii ni kwa vile kama wanavyosema, planning and execution ya project inafanywa na watu ambao wako blindfolded.

I dont expect much from Strabag either, wao ni wa kuelekezwa tu nini cha kufanya, kama muelekezaji hajui anataka nini, Strabag hana ujanja wa kufanya lolote.
 
MKUU UMENENA KWELI, ujinga wa nchi kama nchi unsonekana katika utekelezaji wa barabara hii inayojengwa na Strabag.

Haingii akilini kwa mradi kubwa unao tifua jiji zima ukafanya bila kuxingatia awamu za utkelezaji.
Tunaweza kumlaumu Strabag lakini kosa la kupanga na kupanga utekekezaji ni kwa maelekezo ya "wataakam" wetu nvhini ambao hawafanyi kazi yso, kila siku ni vikso vidivyokwisha na hatimaye kila mtu kukwepa wajibu wake.
Katika mradi huu wa BRT yafuatayo sasa yamejulikana:
  • hapakuwa na execution plans zozote kwa maana ya michoro ya usanifu wa barsbars yenyewe
  • wakandarasi, akiwemo strabsg waliajitiwa bila matsyaridho yote ya ujenxi kukamiliks
  • wasimamizi wa mradi kwa upande wa seriksli waliajitiwa BAADA yawakandarasi kupewa zabuni
  • wakandarsso ksribu wote wametifua tifus jiji xima ili tu waonekane wanafanys kazi lskini kaxi yenyewe ndio kama tunavyoiona
  • hata viongoxi wa mradi wenyewe inaelelekea walixipata nafasi hixo kwa ajili ya ulaji tu, na hata Waxiri wa Ujenzi aliwahi kuwalalamikia mbele ya Rais, na wengine wametimuliwa, lskini its almost too late to rectify the damage done
  • sasa hivi ni waxi kuwa kwa miradi mikubwa itakayotekelezwa kwa kushirikisha wizars ya TAMISEMI, miradi hiyo itashindwa tu, na mradi huu ni kielelezo, Halmashauti ya jiji la DSM halijawahi kuendesha mradi wowote kwa ufanisi, nia na uwezo huo hawana.
Kwa mtaji huo hapo juu, hata mradi wenyewe ukukamilika, mimi binafsi sina mategemeo sana ya kuona mafanikio.
Hii ni kwa vilr kama wanavyosema, planning and execution ya project inafanywa na watu ambao wako blindfolded.

I dont expect much from Strabag either, wao ni wa kuelekezwa tu nini cha kufanya, kama muelekezaji hajui anataka nini, Strabag hana ujanja wa kufanya lolote.
Nimeipenda sana analysis yako, malafyale. Hatufiki mbali kama wanaotuongoza hawana maono ya mbali
 
MKUU UMENENA KWELI, ujinga wa nchi kama nchi unsonekana katika utekelezaji wa barabara hii inayojengwa na Strabag.

Haingii akilini kwa mradi kubwa unao tifua jiji zima ukafanya bila kuxingatia awamu za utkelezaji.
Tunaweza kumlaumu Strabag lakini kosa la kupanga na kupanga utekekezaji ni kwa maelekezo ya "wataakam" wetu nvhini ambao hawafanyi kazi yso, kila siku ni vikso vidivyokwisha na hatimaye kila mtu kukwepa wajibu wake.
Katika mradi huu wa BRT yafuatayo sasa yamejulikana:
  • hapakuwa na execution plans zozote kwa maana ya michoro ya usanifu wa barsbars yenyewe
  • wakandarasi, akiwemo strabsg waliajitiwa bila matsyaridho yote ya ujenxi kukamiliks
  • wasimamizi wa mradi kwa upande wa seriksli waliajitiwa BAADA yawakandarasi kupewa zabuni
  • wakandarsso ksribu wote wametifua tifus jiji xima ili tu waonekane wanafanys kazi lskini kaxi yenyewe ndio kama tunavyoiona
  • hata viongoxi wa mradi wenyewe inaelelekea walixipata nafasi hixo kwa ajili ya ulaji tu, na hata Waxiri wa Ujenzi aliwahi kuwalalamikia mbele ya Rais, na wengine wametimuliwa, lskini its almost too late to rectify the damage done
  • sasa hivi ni waxi kuwa kwa miradi mikubwa itakayotekelezwa kwa kushirikisha wizars ya TAMISEMI,[/color] miradi hiyo itashindwa tu, na mradi huu ni kielelezo, Halmashauti ya jiji la DSM halijawahi kuendesha mradi wowote kwa ufanisi, nia na uwezo huo hawana.
Kwa mtaji huo hapo juu, hata mradi wenyewe ukukamilika, mimi binafsi sina mategemeo sana ya kuona mafanikio.
Hii ni kwa vilr kama wanavyosema, planning and execution ya project inafanywa na watu ambao wako blindfolded.

I dont expect much from Strabag either, wao ni wa kuelekezwa tu nini cha kufanya, kama muelekezaji hajui anataka nini, Strabag hana ujanja wa kufanya lolote.

uuuuuf,,,,,,,
 
Hii barabara itakuwa na 'service roads' yaani barabara za pembeni kila upande hivyo kupunguza idadi ya diversions ambazo mara nyingi huchangia kuongeza foleni. Strabag ni mkandarasi mzuri na itabidi tuvumilie hii adha wakati ujenzi unaendelea, bado tunakumbuka ujenzi mbovu kule Kilwa Rd.
 
I dont expect much from Strabag either, wao ni wa kuelekezwa tu nini cha kufanya, kama muelekezaji hajui anataka nini, Strabag hana ujanja wa kufanya lolote.

Poti, kwa hii post yako umenifanya nitie neno.
Umefafanua vizuri kwa kutumia maelezo ya kikandarasi.
Binafsi nmekuwa na msimamo huo toka mwaka juzi wakati tunaonyeshwa mapicha ya "dar mpya" itakavyokuwa baada ya mradi huo.
Nkawa nawaambia wadau, Tz kama nchi na watu wake tumejipambanua kama watu tunaonunulika, akili au fikra za namna hii haziwezi kufanya jambo lolote kubwa.
Kwanza tungekuwa watu wa fikra kubwa wala tusingetupa pesa yote kwenye barabara moja, tungefikiria zaidi ya hapo na kwa gharama nafuu.

Jamaa angu mmoja anafanya kazi COWI aliniambia hata kuzungusha rail kwa sehemu fulani ya dar ingekuwa nafuu na bora zaidi kuliko hizi vurugu zinazoendelea saiv.

Akili za 10%, upigaji, ujanja-ujanja, siasa za kijinga, blah blah na ubinafsi haziwezi kuleta wala kusimamia "matokeo makubwa"

Tusubiri majanga mengine kwenye hzo FLYOVER!
 
Flyover zitasaidia kwa muda mfupi tu. Mimi ushauri wangu tujenge barabara za kutosha na pana. Dar kuna barabara chache sana kutokana na ujenzi holela.

Rais na serikali ijayo 2016 kama watataka kupunguza kero hii hawana budi kuvunja baadhi ya maghorofa na nyumba ili kujenga miundombinu ya reli,maji,barabara,nk.
 
Kwanza barabara ya morogoro road ni nyembamba sana, hata kuna muda ukiwa unataka kulipita gari kubwa mfano lorry, kama ukiwa ubavuni na mumefika kwenye corner inabidi mwenye gari dogo utulie maana ukiendelea unawezatolewa kwenye njia...

Pia barabara haina emergency exist mfano gari likikuharibikia mitaa ya rombo itabidi ulisukume mpaka ubungo ndio lihame njia.....

Alaf ujenzi ni wakusuasua sana, maana njia ambayo ipo busy dar nzima kama hiyo ilitakiwa ujenzi wake huwe waakili ya hali ya juu.....wafanye kazi usiku na mchana, sasa wenyewe usiku wanalala

Hapo ndio mtaelewa kwanini walifukuzwa kenya, hawa strabag wangebaki kenya zile flyover na thika road (highway) wangevisikia kwenye bomba
Hadi raha yani....!
 
Back
Top Bottom