Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Hyo ndio barabara ya morogoro road?Barabara inayotoka akiba mpaka kimara nakuendelea kwenda bara
Hyo ndio barabara ya morogoro road?Barabara inayotoka akiba mpaka kimara nakuendelea kwenda bara
Pro-Chadema kupinga kila kitu Strabarg wanafanya kazi mazingira yanawasumbua.
Huu mradi hauko chini ya Wizara ya Ujenzi, mradi huu ni maalumu uko Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Je, ni another Richmond?
Nimeona mradi wa DART uko chini ya TAMISEMI. But nadhani kwa kuwa una programs nyingi (za ujenzi, uchukuzi nk), program ya ujenzi inasimamiwa na Magufuli, nadhani ndio maana siku ya uzinduzi (mwka juzi?) na mara kadhaa yeye ndyie ameonekana akifuatilia ujenzi.
Kwanza barabara ya morogoro road ni nyembamba sana, hata kuna muda ukiwa unataka kulipita gari kubwa mfano lorry, kama ukiwa ubavuni na mumefika kwenye corner inabidi mwenye gari dogo utulie maana ukiendelea unawezatolewa kwenye njia...
Pia barabara haina emergency exist mfano gari likikuharibikia mitaa ya rombo itabidi ulisukume mpaka ubungo ndio lihame njia.....
Alaf ujenzi ni wakusuasua sana, maana njia ambayo ipo busy dar nzima kama hiyo ilitakiwa ujenzi wake huwe waakili ya hali ya juu.....wafanye kazi usiku na mchana, sasa wenyewe usiku wanalala
Hapo ndio mtaelewa kwanini walifukuzwa kenya, hawa strabag wangebaki kenya zile flyover na thika road (highway) wangevisikia kwenye bomba
Mkuu mimi ni ccm damu ila ukweli ni lazima tukubali ,strabag hawafai hata kidogo
Vipofu kama kina Ritz ambao hawasikii wala hawaoni hawawezi kukuelewa. Nachukia sana jitu lisiloweza kuwa objective japo kwa siku moja. wanadhani wanaijenga CCM kumbe ni kinyume chake. wametusababisha wengine tuichukie CCM. Huwezi kuwa na akili timamu ukaunga mkono utendaji wa hawa punguani wanaoitwa Strabag. Ni Tanzania tu ndo unaweza kufanya haya wayafanyayo hapa ukaachwa. ONLY IN TANZANIA.
sio strambag uongozi wa kikwete ni janga. Hakuna plan. kila cku kiongozi anaamua lake. No vision
Tsicha rhumu lya mangi!
Watoa maamuzi wa Tanzania wanafikiri kwa kutumia ma------
Barabara inayotoka akiba mpaka kimara nakuendelea kwenda bara