Banned: Asprin....

Uskonde switihati, tayari nimekodi suti la koffi olomide, suti la bujibuji halinifai si unajua jamaa ana kitambi. Husninyo akisoma hii post lazima tu atapoteza faham
Ahsante love kwa kujali hisia zangu juu yako... Husninyo lazima azimike ukizingatia wewe ndiye uliyekuwa unamweka hapa mjini?.. Uporoto yenyewe kafulia, daah namhurumia husni asee!
 
Mdogo wangu Asprin,

Nilikupeleka kwa daktari wa vichwa pale Muhimbili, Dr Kaaya ukamkimbia, sasa ona umeanza tena kale kaugonjwa na ulishaanza kupona... Maombi ya muzee ya upako pekee hayatoshi kabisa

Jitahidi urudie dawa aisee
 
Uskonde switihati, tayari nimekodi suti la koffi olomide, suti la bujibuji halinifai si unajua jamaa ana kitambi. Husninyo akisoma hii post lazima tu atapoteza faham

Ww acha kusema vya watu! Kama ulikuwa umepewa kumega kisela ndio ujionyeshe hadharani? Kama ulipewa basi Husninyo ana wake, shetani tu alimpitia!!
 
swahiba nina ujumbe wako kwanza. Nitakupgia b'dae tuongee. Mwambie huyo mzembe raha ya jf ni kuchakachua tu.
Hahaha! Swahiba nakupendeaga hapo tu, una majibu wazungu tunaita short and clear... Mzembe atakuwa kakusoma!...nasubiri kupigiwa..
 
heeee! We mizizi wewe.

za mwizi arobaini, mi nilihisi tu naibiwa! Yaani mtu ukiwa unaibiwa utajua tu! Mara oh tumbo mie leo sijiskii ku do, mara leo kicheni pati ya sweetlady wanaume hawaendi naenda peke yangu, dah kumbe nilikuwa naumizwa kote huko. Sasa ww firstlady em nieleze, kweli ulishawahi kuwa na kichenpati?
 
Khaaa! We mkare!
 
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Back
Top Bottom