Banned: Asprin....

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,356
Reasons: Kujipendelea wajukuu, kushabikia mila na kuukosoa ubazazi.

Period: 1 week

Zingatia sheria na kanuni za JF.

Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.

Wengine wote muwe na weekend njema.

================
Ban prolonged to 2 weeks
 
Ha ha ha ha 'kujipendelea wajukuu, na kuukataa ubazazi!! inashangaza sana, wajukuu babu anawafanyia ubazazi, bora umejipiga ban
 
Ha ha ha ha 'kujipendelea wajukuu, na kuukataa ubazazi!! inashangaza sana, wajukuu babu anawafanyia ubazazi, bora umejipiga ban
Nimechoka wengine kuonewa kila siku

Banned: ODM
 
Wewe mtu mzima una post elfu 14 pumba tupu,sasa hii thread ina maslahi gani kwa Taifa? nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo yetu

Wala usipandishe mzuka hapa lazima uelewe wikienda ndo imeanza inawezekana ameshapitia mahali akapata hv huoni hata masaa yenyewe? sasa hivi frequencies za SW zimefungwa na kufungulia FM
 
Wewe mtu mzima una post elfu 14 pumba tupu,sasa hii thread ina maslahi gani kwa Taifa? nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo yetu

sio kila kitu kiwe na masilahi ya moja kwa moja kama unavyofikri-kwenye maisha kuna fursa ya ku-joke na kufurahi na hivyo vina tufanya kuwa pamoja kitaifa na kusahau tofauti zetu-sasa wewe na vi-defination vyako ulivyomeza unajiona una mambo ya maana kwa Taifa hili
 
Wewe mtu mzima una post elfu 14 pumba tupu,sasa hii thread ina maslahi gani kwa Taifa? nyie ndio mnaotucheleweshea maendeleo yetu
Maslahi kwa taifa! ni yepi hayo ukiondoa hili la Asprin anayejipiga BAN ilhali serikali ilishaondoa matumizi ya hiki kidonge, nadhani umechelewa, ngoja niwasiliana na mwalimu wa nidhamu Paw
 
Back
Top Bottom