Banned: Asprin....

........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"...............
progress.gif

Bongela biti...Babu, mbona umekimbia!??
Thanks Mtumushi!

Ulidharau papai ukakutana na Mtumishi..reminds me of 'kudharau dafu kukimbilia nanasi tunda la msimu!'
 
Mazandu.....Mazandu hiiiii...lakini hii Mazandu haya banaa.....Asprin endelea kuitafakari Mazandu kama navyoendelea kuitafakari na mimi......
Kamata Mazandu Tupa kule............Chuka MTM weka hapa!!

Kulaaaaleki..........ODM is veeeeeeeeeery happy coz TGIF!
Tusker Malt where are you @?
ODM is dammmmmmmmn thirsty!!
 
Kamata Mazandu Tupa kule............Chuka MTM weka hapa!!

Kulaaaaleki..........ODM is veeeeeeeeeery happy coz TGIF!
Tusker Malt where are you @?
ODM is dammmmmmmmn thirsty!!
Kamata Mazandu weka kule ......chukua RR weka hapa....chukua mkoloni tupa kule.....viti na meza weka hapa.....kamata laptop tupa kule......kamata A Town muvuzisha huku......
 
hv nikipata mimba si mtapiga vigelegele humu heeeeeeee? nipe wki 2 babu naanza mchakato leo
Ohoooooo! Mimba nyingine unajifungulia mdomoni..... ukutane na mikongojo size ya TF mimba inatungiwa kifuani........... Dont say I didnt warn you yoooooooooooooh!!
 
Khaaaaaaaa! Maaanina:
Ngoja:

banned: Bebii
banned: The Finest (hii ni kimaslahi zaidi):tongue:
Hahaha!!!! Babu wale wajukuu wote nimekuachai dah hadi na huyu naye unataka umchukue...lol...AshaDii wapi bana huyu babu maslahi yake naona yanazidi ya Dowans
 
Ohoooooo! Mimba nyingine unajifungulia mdomoni..... ukutane na mikongojo size ya TF mimba inatungiwa kifuani........... Dont say I didnt warn you yoooooooooooooh!!
warn? too late grandpa?????????????
 
Back
Top Bottom