Banned: Asprin....

Banned: Asprin....

hehehe nimeipitia dah! kwa ufupi dogo anahitaji kuonana na Dr Riwa haraka sana.
Halaf nashangaa eti sweetlady jana ndo anasema yeye na jamaa ni titanic. Uskute sweetlady nayeye anashabikia used condoms.
Fellow tablet acha nilog out aisee, kuna jamaa kaiba tairi ya gari naenda kumchukulia zamana.
Khaa!...
 
hehehe hii sredi nilichangia mimi?

Halaf fellow tablet ukimuona sweetlady mwambie sukari yangu ya diabete imeshuka aisee daktari kaniambia nikule something sweet ili ipande.
Hahaha! Something sweet??? si usonge ugali wa sukari guru ule?...fanya hivyo mara tatu kwa siku sukari itapanda!...
 
Lol...atakuwa uporoto kaiba pasiwedi yako sweetie!... Missing you too darlin'
hehehe nimeipaka rangi nyekundu ili na vipofu na wenye makengeza pia waone. Angalia Husninyo asje akakuwekea sabuni ya kufulia kwenye ugali, nimempiga kibuti kwa ajili yako, hajakushtua?
 
hehehe nimeipaka rangi nyekundu ili na vipofu na wenye makengeza pia waone. Angalia Husninyo asje akakuwekea sabuni ya kufulia kwenye ugali, nimempiga kibuti kwa ajili yako, hajakushtua?
Hahah! Kumbe ndio mana kapotea jf ghafla?...wewe pia angalia TF asijekuwekea sumu ya panya kwenye kiroba manake nae nimempiga kibuti kwaajili yako... Wenye wivu wajinyonge bana!
 
Reasons: Kujipendelea wajukuu, kushabikia mila na kuukosoa ubazazi.

Period: 1 week

Zingatia sheria na kanuni za JF.

Onyo: Atakayepinga hii BAN naye anapigwa BAN.

Wengine wote muwe na weekend njema.

================
Ban prolonged to 2 weeks

Supilini na wewe umekuwa PAW?
 
Hahah! Kumbe ndio mana kapotea jf ghafla?...wewe pia angalia TF asijekuwekea sumu ya panya kwenye kiroba manake nae nimempiga kibuti kwaajili yako... Wenye wivu wajinyonge bana!
Yep hawez kurudi , nimemkatia mpaka hela ya cafe yaani tangu majuzi nikienda chafya basi naona sura yako , nikiona post yako naishiwa na pumzi halaf nazimia hafla, hakyababu nimekonda kama nywele ya kichogoni. Kuhusu Ze finest askushtue sana sasa hivi kakonsentreti na kufkuzwa kazi zaidi.
 
Yo Yo karudi lini si alikuwa na ban la maisha huyu? au nimekosea?

Pole na karibu tena.
 
Honey mwombe bwana harusi akuazime suti yake na sisi tufunge pingu za maisha bana...mi nachoka kukuota kila siku....
Uskonde switihati, tayari nimekodi suti la koffi olomide, suti la bujibuji halinifai si unajua jamaa ana kitambi. Husninyo akisoma hii post lazima tu atapoteza faham
 
Mambo swahiba? Kuna memba ameomba kwa heshima na taadhima ukome tabia ya kuchakachua sredi.. Endelea kupitia chit chat utakutana nayo!

swahiba nina ujumbe wako kwanza. Nitakupgia b'dae tuongee. Mwambie huyo mzembe raha ya jf ni kuchakachua tu.
 
swahiba nina ujumbe wako kwanza. Nitakupgia b'dae tuongee. Mwambie huyo mzembe raha ya jf ni kuchakachua tu.
hehehe hapo red ilitakiwa isomeke "kuchakachuana"
Ni mimi mkufunzi mstaafu wa Bakita.
 
Back
Top Bottom