Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Aseee!
Duh!
Duh!
Hata kwenye promotion za Bia ya Serengeti huwa kuna masista wale wanaogawa vipeperushi
Hata kwenye promotion za Bia ya Serengeti huwa kuna masista wale wanaogawa vipeperushi
Lol....lovely wifi, nililala kanisani na ndipo nilipoamkia dear!... Sina raha wifi yangu... Kakako simuoni sielewi ndio kaniacha au vipi...wacha tu nibakie huku kanisani labda patanipa furaha ya kweli ... Love you wifi!Ukinijibu jana ulilala wapi na leo umeamkia wapi nitafurahi kweli.....lol
Kweli kabisa Big' afu hapa mgonjwa ni Asprin na mganga ni The Finest..... Huoni mie nilivyokazana kuwafanyia maombi?Jukwaa la wagonjwa na waganga wa jadi!
Mim huyooooo...ngoja nikamtafute Mag3 kule kwa historia ya uhuru wa tanzania Vs historia ya kariakoo gerezani.
Sio kuiona tu TF, nataka uinipe zawadi yangu lol..Sweetlady nimekununulia zawadi unataka kuiona?
Mwenye mamlaka ya 'kuklozid' sred ni Paw peke yake..Orayt
Sred Closed
:smash::smash::smash:
Ban Uplifted
:crutch::crutch:😛oa😛oa:canada:
Subiri wakati ananikabidhi ndio upige picha....😛hoto:
Hahahaha......... fellow tablet bana. Hebu soma huu waraka hapa chini. Tiba hii imesibitishwa na dakta Riwa na Dakta asilia MziziMkavu wa JF kwamba ni salama kwa matumizi ya binadamu.hehehe hii sredi nilichangia mimi?
Halaf fellow tablet ukimuona sweetlady mwambie sukari yangu ya diabete imeshuka aisee daktari kaniambia nikule something sweet ili ipande.
Halafu wewe!
MDALASINI NA ASALI
Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na
magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee.
Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama
itachanganywa na mdalasini wa kawaida.
Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa
yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za
umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.
Kama ifuatayo:
1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.
Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali
pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua
sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.
Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya
asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.
Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapa
wagonjwa 200, {syrup} mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kila
asubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na _
ongezeko katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vyema.
2. kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}
Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo
maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu
unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.
3. Ukungu wa miguuni {FUNGUS}
Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu
zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha
kwenye kipindi cha wiki moja.
4. Maamhukizo kwenye kihofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}
Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na kijiko kimoja
{cha chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya
maji ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu.
5. Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.
Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.
6. Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKER
SORES}.
Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberry
nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.
Halafu useme tena sikupendi........Ntakubwenga makwenzi!
Hahahaha......... fellow tablet bana. Hebu soma huu waraka hapa chini. Tiba hii imesibitishwa na dakta Riwa na Dakta asilia MziziMkavu wa JF kwamba ni salama kwa matumizi ya binadamu.
Ukishaisoma usiidiliti.
Sasa huoni raha unakula dawa kwa hisani ya pilau? yaani ni sawa na umebanwa na kuachia kinyesi afu unapewa added advantage ya kumwaga na mkojo....khaaa! fellow tablet bana! mdalasini si unapikiwa pilau? Mimi nafata ushauri wa daktari wangu bana, lazima nipate something sweet.
halaf umepata habari zozote kuhusu ujauzito wa husninyo? na king'asti inasemekana alianguka stejini na high hill zake kwenye sendoff ya lizzy. Dah kimenukaSasa huoni raha unakula dawa kwa hisani ya pilau? yaani ni sawa na umebanwa na kuachia kinyesi afu unapewa added advantage ya kumwaga na mkojo....
Sina taarifa hizo, taarifa nlizo nazo ni za Keren_Happuch. Amefumaniwa akiwapiga chabo Mbu na Mj1. Nimeambiwa ukipigwa chabo na KH lazima ujauzito wa mapacha utokee. Ngoja tumhesabie siku MJ1. I-save hii post kwa ajili ya future reference.halaf umepata habari zozote kuhusu ujauzito wa husninyo? na king'asti inasemekana alianguka stejini na high hill zake kwenye sendoff ya lizzy. Dah kimenuka
Dah! inawezekana ni uzushi lakini lisemwalo bana! punde tu nimepokea e mail inabreak news kwamba ze finest kabambwa boda la Kenya, anavusha mawigi used bila kibali cha serikaliSina taarifa hizo, taarifa nlizo nazo ni za Keren_Happuch. Amefumaniwa akiwapiga chabo Mbu na Mj1. Nimeambiwa ukipigwa chabo na KH lazima ujauzito wa mapacha utokee. Ngoja tumhesabie siku MJ1. I-save hii post kwa ajili ya future reference.
Khaaa! Ushasahau huyu jamaa ni speshalisti wa kuuza kondom used? Hebu fuatilia hii link....https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/186389-so-will-you.html?highlight=Dah! inawezekana ni uzushi lakini lisemwalo bana! punde tu nimepokea e mail inabreak newa kwamba ze finest kabambwa boda la Kenya, anavusha mawigi used bila kibali cha serikali