Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Congo na Zambia si uchaguzi umeshaisha maana tuliambiwa ni moja sababu za kushuka kwa mizigo bandarini
 
Mkuu huwezi kumpandisha asiyekuwa nacho kwa kumshusha aliye nacho
 
Maajabu pekee yanayo patikana Tanzania naombeni panadol nimeze tafadhali kila kuchwa na viroja vyake.
 
Simba ni mnyama mkali sana tena sana, lkn huwa anatulizwa na anazaa vile vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante Moderator Invisible kwa kuweka hili gazeti maana kuna watu walianza kupotosha kuwa wanaofuatwa ni wakwepa kodi.
Ndio wanakwepa kodi za kijinga na wanaenda Bandari ambazo hakuna kodi za kukomoana na zenye uwazi in such a way ukiagiza mzigo wako unajua utaulipia shillingi ngapi, na hamna double taxetion, can you imagine kuingiza mzigo unaulipia Port charges na kodi na ukiufikisha Dukani unaulipia tena kodi.
 
Hata mdororo wa Uchumi wa mwaka 2008 Bandari haikukauka hivi. Lazma tuukubali ukweli bana.
 
Aisee wamefuta wafanyabiashara mkulu kawaambia au katengua kauli yake alitaka majiri wa Ishi Kama shetani
 
Wait? Si walisema wanakusanya bilioni 1. Ngapi vile ? Na uchumi kukua kwa kasi sana...
Wacha tuone, nchi inaongozwa kwa busara, sheria na sprit na sio udikteta
 
ukweli ukidhihiri siku zote uongo hujitenga.. Tunasubiri waje kukanusha.. Awamu hii imevunja rekodi kwa KUKANUSHA hata jambo la ukweli.. time will tell
 
Bakharesa nae anatumia bandari ya Beira kwa mizigo inayokwenda nje ya nchi.. kwa mizigo ya ndani anatumia bandari ya Unguja
 
Kuyumba yumba kwa ngalawa sio mwisho wa safari.ni vizuri unapoona umekosea ukajirudi na kurekebisha makosa
[emoji12] [emoji12] tatizo ni lugha ngumu wanazotumia hata sukari mpaka leo imeshindikana kushuka bei jambo LA kwanza ni kukaa NA wafanya biashara kuongea nao mkubaliane si kuwabeza NA kuitumia lugha za ajabuajabu nguvu itumike pale tu inapohitajika
 
Back
Top Bottom