Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Nimechaguliwa na maskini! Siyo matajiri, nitagawa sukari bure zilizofichwa! Mhh leo hii! Mnawafata matajiri kimya kimya! Acheni kucheza na media punguzeni visasi huu mchezo hautaki hasira! Kitaa hamjakaa mtajuaje uchumi? Au uchumi wa kwenye karatas! Ingia kwenye game uone ndo utajua si kila 4+5=9!
 
Yaani ni afadhali hata awamu ya Kikwete. Hii ya tano haieleweki kabisa. Mkuu wa kaya aliwaponda wafanyabiashara kwamba wengi wao walikuwa wanakwepa kodi pale bandarini. Wakaamua kuachana na bandari ya Dar, cha ajabu leo wanaenda kuwasujudia hao hao. Hivi kauli za mkulu zinachujwa kabla ya kutolewa kupitia mdomoni au ndo zinafyatuliwa tu?
 
Nimechaguliwa na maskini! Siyo matajiri, nitagawa sukari bure zilizofichwa! Mhh leo hii! Mnawafata matajiri kimya kimya! Acheni kucheza na media punguzeni visasi huu mchezo hautaki hasira! Kitaa hamjakaa mtajuaje uchumi? Au uchumi wa kwenye karatas! Ingia kwenye game uone ndo utajua si kila 4+5=9!
Tena Huyu ndiyo ataanguka vibaya sana.
 
Hii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.

Chanzo:Star tv magazeti

Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!
Kufanya hivi ni upuuzi kiwango cha lami ni kutengeneza makundi, hivi hawa washauri wa bob wanatoka sayari gani
Kama ni kweli hili litakuwa kundi untouchables!
Kinachitakiwa ni kuweka mazingira rafiki kwa biashara
Uaminifu
Wepesi wa nyaraka
Uhakika wa kutoa mizigo kwa wakati
Kupunguza mlolongo wa kodi kwa ajili ya kuvutia wateja wengi zaidi
Bandari kufanya kazi 24/7 kwa shift
Nk nk
 
Back
Top Bottom