Hayo matangazo wangerushia Kongo. Hapa ndani jamaa liache kuongea shombo na lisambaze pesa linazokusanya. Pesa haijai banaaaa............. ye anainjoi kuona pesa hazina badala ya mzunguko!Ogopa mpaka bandari inarusha matangazo kwenye tv stations kuhamasisha watu kutumia bandari ya Dar.
Kuna magazeti ya Kenya yaliwekwa hapa yakionyesha watalii wamehamia znz. Kenya kwenyewe wamepunguaHaya bila shaka wanayaitaka "magwangala"kwa lugha ya huko kwa mkuu wetu. Huu ni uchafu unaotokana na mchanga baada ya kuondoa dhahabu!
JPM na CCM watanyooka tu! Chezea Wapinzani na Wafanyabiashara wewe.Hivi unawezaje kuendesha uchumi kwa ku-harass Wafanyibiashara, Wafanyakazi na Wapinzani?Hawa ni wadau muhimu au Keyplayers kwenye biashara na Uchumi wa nchi! Bado la WATALII kwenye mbuga zetu za Wanyama!
Hivi sasa watalii wengi wamehamia Kenya kwasababu ya Kodi za kijinga! Halafu Rais mzima anasimama anatamba kuwa HAO WATALII NA WASIJE, NI HERI KUWA NA WATALII 500 WANAOLIPA KODI KULIKO MILIONI 2 WASIOLIPA! Haya ni mambo ya hovyo kabisa!!!
"... Akiambiwa aangukie anatoa pesa nyingi....... kuliko ile mahari aaliyotoa ..."Juzi kati nilikua namuangalia kupitia tv "Katelephone" akimwangukia Mo Dewji ajaribu kuzungumza na wafanya biashara wenzake warudi na wasikimbie nchini kwenda kufanya biashara nje ya nchi, mpaka huruma.
Si uchumi kudidimia pekee, bali hata shilingi itaporomoka vibaya sana.Akichapisha noti mpya, uchumi utazidi kudidimia.
Lazima waamie kwetu kwa wingi ili kujionea binadamu wa ajabu wanaopatikana katika nchi hii.Kuna magazeti ya Kenya yaliwekwa hapa yakionyesha watalii wamehamia znz. Kenya kwenyewe wamepungua
Hahahahaaaaaah! Ati po..lic na kondakta watainua uchumi.Alijua hata hao wafanyabiashara wakisepa haina Noma...Polisi na Makonda watainua uchumi.
Si uchumi kudidimia pekee, bali hata shilingi itaporomoka vibaya sana.
Kushindana na wafanyabiashara ni sawa na kushindana na Ubepari kwa dunia ya sasa...kitu ambacho hakitawezekana kamwe.Huwezi kushindana na mfanya biashara!!
Ogopa mpaka bandari inarusha matangazo kwenye tv stations kuhamasisha watu kutumia bandari ya Dar.
umenichekesha hadi basi mkulu ameamua ageuke nguzo ya chunvi kama mkewe Lutu.hahahaaa bado kuwapigia magoti watalii muda utasema.tena ningekuwa mm ni bakhresa ningewaaambia mpige magoti kuniomba radhi kwa kuniita mkwepa kodi alafu niwafotoe foto, hasa YOHANA!
Kwani kilicho wahamisha wamekiondoa?Hii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
View attachment 397391
Chanzo: Mwananchi
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!
Kukimbia siyo tatizo mkuu, tatizo ni nini kilicho wakimbiza!Kumbe wanajua kuwa walikimbia
Uzi huu sijaona lumumba fc akitia mguuHuwezi kushindana na mfanya biashara!!