Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
Taratibu.
Usiwe na Jazba huu mchezo hauhitaji hasira. Tunafaa tuelimishana tena taratibu sana ,maana kila mmoja na uwezo wake aliojaliwa na maanani.
Baba akiwa hivi watoto je?
CCM YASIKITISHWA NA KAULI YA MAGUFULI NA KUTAKA AOMBE ...![]()
Magufuli : Wanafunzi 7802 waliofukuzwa Dodoma walikuwa ni ****** ...![]()
MAGUFULI AMTAKA SHEIN AACHE UPOLE KAMA NI MSAADA ...![]()
Sakata la nauli za vivuko: Magufuli asema asiye na nauli Sh. 200 ...![]()
Jan 2, 2012 - Magufuli achafua hali ya hewa Dar WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ... na Alina na kama watashindwa, wapige mbizi baharini kuvuka.
We toa maoni yako huna haja ya kinipa somo how I should conduct myself - how many times must I repeat myself, unarudia yake yale ya ku pick pick vitu trival kumsema sema JPJM - wewe as an individual umecontribute kitu gani cha maana kusaidia Taifa letu kwenda mbele.
Dk.Magufuli wala ajamaliza mwaka tangu ashinde kinyanganyiro cha Urais,nani ambaye hajui mchango wake katika kurudisha nidhamu , uwajibikaji wetu kazini na uhimizaji wa ulipaji kodi, kusimamia miradi iliyo anzishwa na mwenzake, kubuni miradi mipya ya uwekezaji nk - nyie mnataka afanye miujiza gani in less than a year??
Hivi leo hii tukikukabidhi Urais unaweza kufanya kitu gani cha maana zaidi ya Rais aliyepo madarakani, tumekalia kukosoa kosoa tuuu!!