esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
wameikimbia ofisi lumumba, nadhani wapo pale jirani bustani ya mnazi mmoja wakisubiri gharika ipite.
wameikimbia ofisi lumumba, nadhani wapo pale jirani bustani ya mnazi mmoja wakisubiri gharika ipite.
Haya tupo wasemaje!?
[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Yeyote atakae nikwamisha nitalala nae mbele...
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]Ulimi si kiuno, ni kiungo. Kiuno kinaanzia mwisho wa tumbo kushuka chini kidogo
Sasa Mkulu si alijifanya masikini jeuri kwa kutamba kuwa waliokimbia kutumia bandari ya Dar ni wale wafanyabiashara wakwepa kodi na akawaambia kuwa waende kwenye hizo bandari za nchi nyingine zinazoruhusu mizigo kupita bila kulipiwa kodi?
Sasa baada ya kuona bandari imekauka kabisa ndiyo anakuwa 'mpole' na kutaka kwenda kuwapigia magoti?
Hii nchi haitakiwi kuendeshwa kwa ubabe na matamko ya majukwaani, badala yake inatakiwa kuendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali namna bora ya kuiendeleza nchi yetu.
Mkulu akiendeleza kuendesha nchi yetu kwa staili yake ya ONE MAN SHOW, hakika nchi yetu itakuwa inaelekea kuwa another Zimbabwe...............
amewafuata tena wakwepa kodi ina maana ile kauli yetu waende huko kwa wakwepa kod wenzao imekaaje inabid na sisi wafanya biashara tuwe na msimamo wetu had atengue kauli yake.
Huwezi kushindana na mfanya biashara!!
Sema huwezi shindana na Soko. Mchezo wote wa Biashara kama wewe hutaki kuishi maisha ya Kikorea Kaskazini lazima ujue refa wako ni Soko fullstop.
Tukumbuke tunajenga nchi mmoja, kama una nia njema na Taifa lako basi toa ushauri kistaarabu without name calling and what have you, huu utamaduni wa kujaribu kuwadhalilisha Viongozi wetu umeanza kuota mizizi na hizi sio dalili nzuri hata kidogo kwa mstakgabali wa Taifa letu tunapaswa kujirudi.
Kumbe kuwambia wafanya biashara wote walipe kodi na Tozo halali ni dhambi? pole Mh rais kwa kuongoza tanmzania iliyojaa wanfaiki
Nakumbuka malaika alipokuwa waziri wa ujenzi alisababisha mgomo mkubwa kwa wamiliki wa malori ya mizigo kuhusu suala uzito wa malori kwenye mizani mpaka waziri Mkuu pinda alipoingilia kati na kutengua amri yakeSiku zote Ubabe mfanyie masikini ila siyo mfanyabiashara mana unaweza lala bila kuvua viatu kwa kuchanganyikiwa..
Kukiwa kuna jambo la msingi linalohitaji kufikiri kwa mapana zaidi hawa mbweha huwezi kuwaona.Nyuzi zote za hivi karibuni siwaoni Lizabon na Faizafox...ukimya wao ni kuisoma no.?
Ndiyo tujiulize tumekosea wapi!Sasa mbona tunarudi kwa Jakaya kuwapigia Magoti Wakwepa kodi?
Duh duh...kama hukununua gari from 2015 kushuka chini....hiyo ndo imetokapole mkuu, jana kuna uzi niliuona humu et ist ushuru milioni 20, hivi mwalimu au nesi atanunua gari kweli?
Nakumbuka malaika alipokuwa waziri wa ujenzi alisababisha mgomo mkubwa kwa wamiliki wa malori ya mizigo kuhusu suala uzito wa malori kwenye mizani mpaka waziri Mkuu pinda alipoingilia kati na kutengua amri yake
thibitishaHao waliyofutwa ni wadaiwa wa bandari