Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

Sasa Mkulu si alijifanya masikini jeuri kwa kutamba kuwa waliokimbia kutumia bandari ya Dar ni wale wafanyabiashara wakwepa kodi na akawaambia kuwa waende kwenye hizo bandari za nchi nyingine zinazoruhusu mizigo kupita bila kulipiwa kodi?

Sasa baada ya kuona bandari imekauka kabisa ndiyo anakuwa 'mpole' na kutaka kwenda kuwapigia magoti?

Hii nchi haitakiwi kuendeshwa kwa ubabe na matamko ya majukwaani, badala yake inatakiwa kuendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali namna bora ya kuiendeleza nchi yetu.

Mkulu akiendeleza kuendesha nchi yetu kwa staili yake ya ONE MAN SHOW, hakika nchi yetu itakuwa inaelekea kuwa another Zimbabwe...............
Zimbabwe ipi wale marafiki zetu?
 
Tutapiga kura za hasira kuiondoa ccm madarakani mwaka 2020. Potelea mbali
 
Bado wadau Ni watu muhimu kwa bandari yetu Katu watuwezi waacha nyuma... Nyie mnawaita wafanyabiashara sie tunaita hivyo...(wadau)
 
tehe tehe tehe tihi tihi tihi,wacha nicheke,ati bora meli zisije ,analamba matapitishi yakeeeeeee
 
Tatizo lingine wafanyabiashara wanaonekana kuwa maadui wa watawala kwa siku za leo, ambao hasara ktk biashara zao ni furaha kwa baadhi ya viongozi. Na pia hawana wa kuwatetea na matisho kutoka juu yana watisha kufikia kufilisiwa, ni jambo baya na la kutisha kufilisika mali uliyoitafuta kwa taabu dhiki na shida kwa miaka nendarudi. Mkuu awahurumie waanze upya kwa safu ya wafanyakazi wazuri waliopo sasa na awe mkuu wa wote siyo baadhi ya watz tu. Mama yetu alikuwa na baba mwingine aliyetuacha na mama yetu, baba mpya asitufunge kwa kwa makosa ambayo tuliamliwa kuyafanya tukiwa na baba yetu aliyemtangulia bali achambue na kutuona wote ni watoto wa mama mmoja.
Bora poteza fedha lakini sio credibility; huwa ni ngumu sana kuirudisha.
 
Kakoko ni jembe. Hakuwekwa pale kimakosa.
Nini jembe, na awe sururu pia lakini biashara haitaki ubabe na ukadiriaji wa kodi wa kukomoana. Wanasahau kuwa kazi ya serikali ni kukusanya kodi na kutumia. Sasa kodi inakusanywa kupitia kwa nani?
 
"Ni bora meli 10 zinazolipa $ za kutosha kuliko meli 100 zinazokwepa kodi. Waende zao hatuna shida nao"...... Kuwa Rahisi haimaanishi utashinda kila game, zingine utapigwa tu. Na nyie Lumumba FC, tunapokosoa baadhi ya issues tunakosoa for the national interest
 
CCM ni ileile ilipata mshtuko tu uchaguzi uliopita ikaingia kizungu zungu sasa inarudi katika hali yake ya kawaida. Matamko hayaendeshi Nchi.
 
Back
Top Bottom