Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,631
- 164,745
- Thread starter
- #121
Muda umewaumbua.Nyuzi zote za hivi karibuni siwaoni Lizabon na Faizafox...ukimya wao ni kuisoma no.?
Muda umewaumbua.Nyuzi zote za hivi karibuni siwaoni Lizabon na Faizafox...ukimya wao ni kuisoma no.?
Sasa hapa mmeonyeshwa in black and white jinsi wafanya biashara wakubwa wanavyo hujumu nchi, wanakuhujumu wewe hapo unless otherwise ukawa mmoja wao waliokua wakinufiaka na hizo hongo waliokua wakitoa hao wafanya biashara. Hata kama utafuata sheria kama wao walizoea kutoa honga na kukwepa kodi unadhani itasaidia kitu gani?Sasa Mkulu si alijifanya masikini jeuri kwa kutamba kuwa waliokimbia kutumia bandari ya Dar ni wale wafanyabiashara wakwepa kodi na akawaambia kuwa waende kwenye hizo bandari za nchi nyingine zinazoruhusu mizigo kupita bila kulipiwa kodi?
Sasa baada ya kuona bandari imekauka kabisa ndiyo anakuwa 'mpole' na kutaka kwenda kuwapigia magoti?
Hii nchi haitakiwi kuendeshwa kwa ubabe na matamko ya majukwaani, badala yake inatakiwa kuendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali namna bora ya kuiendeleza nchi yetu.
Mkulu akiendeleza kuendesha nchi yetu kwa staili yake ya ONE MAN SHOW, hakika nchi yetu itakuwa inaelekea kuwa another Zimbabwe...............
Hahahahaha cheeers niko.hapa na wafanyabiashara wenzangu tunagonga cheers hahahahwanarusha matangazo ya kuipa promo Bandari ya Dar kila kabla ya taarifa ya habari nimejionea hilo channel 10.
Swali la msingi, ni kwanini wawafuate or kuzungumza nao wakati, Serikali ilijihami na kusema haina shida....?PM amesema wamekutana na serikali ya DRC na imewahakikishia kuwa mizigo yote itapitishwa hapa huku wakisahau kuwa serikali sio inayoamua mizigo ipitie wapi bali ni wafanyabiashara binafsi! Bahati mbaya sana karibia ya 70% wafanyabiashara wa TZ sehemu anayobanwa kulipa ushuru stahiki si rafiki kwao!
UKAWA Tumeshinda!
Naomba Uniweke ile Emoji Mtu Anatunisha Misuli ya Mkono!
Ahahaha
Asante Moderator Invisible kwa kuweka hili gazeti maana kuna watu walianza kupotosha kuwa wanaofuatwa ni wakwepa kodi.Hii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
View attachment 397377
Chanzo:Star tv magazeti
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!
Tupe maujanja, utaingizaje gari nchini?Gari unanunua mil 5 kodi mil 8 situmii kabisa hiyo bandari hata iweje
Tena wanatakiwa wajue Bakhresa anaitumia kwakua hana njia mbadala. Kama angekua na njia Mbadala asingeitumia. Na kingine wajiulize Viwanda vyake vya Burundi, Rwanda na Zimbabwe vinatumia hii bandari ya Dar!?Hii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
View attachment 397391
Chanzo: Mwananchi
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!
Bro hivyo viwanda vipo wap labda tuone iyo ajira.. kwanza toa ushabiki katka suala la ajira coz hakuna mtu hasietaka kufanya kazi ila system ya ajira unaijua saana tz..Naskia mpa sasa hivi tuna viwanda 50 na ajira zinapatika kiurahisi sema wantanzania atutaki kufanya kazi hapa kazi tu
Frey Cosseny soma sasa hii habari uone inavyokuumbua kutuambia wanaofuatwa ni wakwepa kodi.Hii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
View attachment 397391
Chanzo: Mwananchi
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!
Muda Ndio Jibu Zuri la Mtu Muongo!Muda umewaumbua.
Asante Mkuu![emoji123][emoji123][emoji123]
Waliofutwa? Naona una habari mpya tofauti na thread hii tujuze zaidi tafadhaliHao waliyofutwa ni wadaiwa wa bandari
Nadhani wanafidia pengo la uhaba wa mizigo.Gari unaagiza kwa Tshs milioni 19 pale bandarini unalipia wastani wa milioni 15 kwa hapo bado storage charges! Kama kuna mtu kwa kipindi hiki anatumia hiyo bandari basi akapimwe akili!!