Bandari ya Bagamoyo tumaini jipya kwa ukanda wote wa Pwani

petro matei

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
809
Reaction score
945
Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone).

Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla.

Bandari hii inajengwa hapo zinga mbegani ni kama kilometer 60 Toka katikati ya jiji la dar es salaam na pia ni kama kilometer 80 mpaka msata na kwa njia hii inayomaliziwa kujengwa ya short cut ya kwenda tanga kupitia makurunge saadani, tanga pangani mpaka bagamoyo ni kama kilometer 170.Mradi huu ni chachu ya maendeleo ivyo SI mradi wa kubezwa.

Maana kupitia mradi huu ambao unakisiwa ukikamilika utatoa ajira Zaidi ya laki tatu si Jambo la kucheleweshwa. Tunaomba serikali ifanye haraka mradi huu uanze kwa manufaa ya taifa letu.
 
Lini inaanza kujengwa longolongo zmekua nyingi sana.
 
Back
Top Bottom