Bandari ngoma mbichi: Rushwa kumuokoa Kipande

Tina

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2007
Posts
572
Reaction score
584
Mamilioni ya fedha yametengwa kumuokoa Kipande.

Baada kushindwa kuwahonga wajumbe wa bodi, Kipande na washirika wake wameandaa kikao cha wafanyakazi kwa kuwaandaa baadhi kutoa kauli za kumtetea dhidi ya bodi.

Kikao kinafanyika kesho saa 4 asubuhi na wamesema ni wafanyakazi na bodi lakini wajumbe hawajaambiwa isipokua Mwenyekiti pekee ambaye tayari walikaa kikao cha siri Sourthen Sun Jumapili. Tusubiri tuone.
 
Wanakuja hapa watetezi wa Mwakyembe sasa hivi kutaka kuzaa na wewe. Ngoja nikae pembeni kusubiri kuona!
 
Haya mambo ya kung'ang'ania vyeo yananishangaza sana. Ukurugenzi au uenyekiti wa bodi eti mtu anapewa muda wa nyongeza kwa mkataba baada ya kustaafu kwa "lazima" mradi tu aendelee kutumikia maslahi ya wateuzi......
 
In spite of your onerous obligations, Hoja zako hizi kuhusu Dr. Mwakyembe ambazo umeanza kuzileta kwa muda sasa zingeeleweka sana na kubeba uzito mkubwa kisiasa kwa wananchi wa nchi ambazo uongozi na utekelezaji katika serikali au vyama vya siasa uko kwa kiwango cha juu sana.

Madudu ya Dr. Mwakyembe is not a thing ukilinganisha na mazuri ya utendaji wake katika macho na fikra za Watanzania wengi kwa sababu utendaji wa mazuri kitaifa uko chini sana katika serikali na vyama vya siasa. Kwa maana nyingine, madudu ya Dr. Mwakyembe kwa wastani yanakuwa ni mazuri katika utendaji wa viongozi serikalini na katika vyama vya siasa ukilinganisha na mazuri ya viongozi wengine wa serikali na kisiasa.

Kwa kiwango kikubwa, utaonekana kama unaleta unafiki na majungu fulani kwa sababu kuna mabaya zaidi mengi nchini ambayo yanahitaji kwanza kuwa highlighted zaidi ya madudu ya Dr. Mwakyembe kwa sababu watu wanaona kwa kiwango kikubwa kama kuna kitu kizuri kinafanyika katika wizara na taasisi zilizo chini ya wizara yake ukilinganisha na kipindi alipokabidhiwa wizara hiyo.

Sikatai, ni kweli kuna uwezekano kukawepo haya madudu unayoyasema, lakini hayatapata uzito kisiasa kwa sababu unayaleta katika wakati ambao siyo mwafaka nchini kulingana na hali ya kiutendaji katika serikali na vyama vya siasa.

Ni angalizo tu.
 
Team Lowassa mnajisumbua Dr Mwakyembe hamtamuweza kwanza tumeona mabadiliko makubwa ndani ya bandali na hicho kibodi ambacho wajumbe wake ni shayo,kavishe,mamilo na wachumia tumbo wengine hawana hoja zaidi ya kubaniwa posho za hovyo hovyo wanataka kumtoa Eng.Kipande! Hamna hoja ya msingi ya kumkataa Kipande zaidi ya kusema utendaji mbovu,wafanyakazi wa bandari wana washangaeni sana kwa ujinga huu mnaofanya! Bandari ilikua imeoza inanuka! Angalie maslahi ya taifa na sio maslahi ya matumbo yenu wanaBodi!!!
 
In spite of your onerous obligations, Hoja zako hizi kuhusu Dr. Mwakyembe ambazo umeanza kuzileta kwa muda sasa zingeeleweka sana na kubeba uzito mkubwa kisiasa kwa wananchi wa nchi ambazo uongozi na utekelezaji katika serikali au vyama vya siasa uko kwa kiwango cha juu sana.

Madudu ya Dr. Mwakyembe is not a thing ukilinganisha na mazuri ya utendaji wake katika macho na fikra za Watanzania wengi kwa sababu utendaji wa mazuri kitaifa uko chini sana katika serikali na vyama vya siasa. Kwa maana nyingine, madudu ya Dr. Mwakyembe kwa wastani yanakuwa ni mazuri katika utendaji wa viongozi serikalini na katika vyama vya siasa ukilinganisha na mazuri ya viongozi wengine wa serikali na kisiasa.

Kwa kiwango kikubwa, utaonekana kama unaleta unafiki na majungu fulani kwa sababu kuna mabaya zaidi mengi nchini ambayo yanahitaji kwanza kuwa highlighted zaidi ya madudu ya Dr. Mwakyembe kwa sababu watu wanaona kwa kiwango kikubwa kama kuna kitu kizuri kinafanyika katika wizara na taasisi zilizo chini ya wizara yake ukilinganisha na kipindi alipokabidhiwa wizara hiyo.

Sikatai, ni kweli kuna uwezekano kukawepo haya madudu unayoyasema, lakini hayatapata uzito kisiasa kwa sababu unayaleta katika wakati ambao siyo mwafaka nchini kulingana na hali ya kiutendaji katika serikali na vyama vya siasa.

Ni angalizo tu.

Umezingumza vizuri sana
 
Mamilioni ya fedha yametengwa kumuokoa Kipande.

Baada kushindwa kuwahonga wajumbe wa bodi, Kipande na washirika wake wameandaa kikao cha wafanyakazi kwa kuwaandaa baadhi kutoa kauli za kumtetea dhidi ya bodi.

Kikao kinafanyika kesho saa 4 asubuhi na wamesema ni wafanyakazi na bodi lakini wajumbe hawajaambiwa isipokua Mwenyekiti pekee ambaye tayari walikaa kikao cha siri Sourthen Sun Jumapili. Tusubiri tuone.

Binti je unaweza kutuambia ni sababu gani Bodi haimtaki Kipande ?
ili na sisi tuchanganye na zetu tujue yupi yupo sawa maana unavyosema madudu hayasaidii chochote
 
Wanakuja hapa watetezi wa Mwakyembe sasa hivi kutaka kuzaa na wewe. Ngoja nikae pembeni kusubiri kuona!

bibikuku, tatizo la huyu Tina haeleweki kama ni mtetezi wa ufisadi au ni mpinga ufisadi. Katika thread yake nyingine ya kumkandia Mwaki na Kipande alishindwa kujibu maswali ya wanaJF ambayo ni pamoja na kuulizwa tuhuma 22 za Kipande, hakuweza kutaja zaidi ya kusema Kipande ana lugha mbaya kwa wateja. Watu tukashangaa, hivi DG wa Bandari anakutana na wateja wangapi na wapi kiasi cha wateja kupewa lugha mbaya. Na je Tina ni mteja ndio akawa analalamika? Na pia Kipande anawanyanyasa kijinsia. Wengi tukaona ni hoja ambazo zinaelekea kukosa ukweli. Pia aliulizwa mbona hali Bandari ya kabla ya Mwakiyembe na Kipande ni mbaya sana ukilinganisha na sasa hivi ambapo walau kidogo wateja wanapata mizigo yao ikiwa salama na mapato inasemekana yameongezeka maradufu ya maradufu? Hajajibu kitu. Pia aliulizwa mbona juzijuzi tulisoma kwenye media kwamba taarifa ya mapato ya Bandari (ya kabla ya Kipande na Mwakyembe) imekataliwa na Kamati ya Bunge kwa kuwa na kiasi kikubwa cha fedha kutumika kwenye posho na safari za nje? pia hajaleta majibu. Sasa kama analeta tuhuma pasipo ushahidi na huku watu wanaona hali kidogo afadhali, kundi zuri la kumuweka huyu mleta tuhuma ni miongoni mwa waathirika wa mageuzi Bandarini ambayo kwao wao yanawandolea fursa zao walizozizoea, huenda sasa hazipo. Nani siyejua kwamba mitaa nyuma ya TRA na Central ni mitaa maarufu ya kununua Radio za magari za, wizi, Power Window, Tyre vilivyotoka kwenye magari ya watu? Kuiba nawaibe lakini wawe wanawakumbuka na wananchi nao, na wajue hakuna wizi hauna kipato endelevu.
 
Last edited by a moderator:
In spite of your onerous obligations, Hoja zako hizi kuhusu Dr. Mwakyembe ambazo umeanza kuzileta kwa muda sasa zingeeleweka sana na kubeba uzito mkubwa kisiasa kwa wananchi wa nchi ambazo uongozi na utekelezaji katika serikali au vyama vya siasa uko kwa kiwango cha juu sana.

Madudu ya Dr. Mwakyembe is not a thing ukilinganisha na mazuri ya utendaji wake katika macho na fikra za Watanzania wengi kwa sababu utendaji wa mazuri kitaifa uko chini sana katika serikali na vyama vya siasa. Kwa maana nyingine, madudu ya Dr. Mwakyembe kwa wastani yanakuwa ni mazuri katika utendaji wa viongozi serikalini na katika vyama vya siasa ukilinganisha na mazuri ya viongozi wengine wa serikali na kisiasa.

Kwa kiwango kikubwa, utaonekana kama unaleta unafiki na majungu fulani kwa sababu kuna mabaya zaidi mengi nchini ambayo yanahitaji kwanza kuwa highlighted zaidi ya madudu ya Dr. Mwakyembe kwa sababu watu wanaona kwa kiwango kikubwa kama kuna kitu kizuri kinafanyika katika wizara na taasisi zilizo chini ya wizara yake ukilinganisha na kipindi alipokabidhiwa wizara hiyo.

Sikatai, ni kweli kuna uwezekano kukawepo haya madudu unayoyasema, lakini hayatapata uzito kisiasa kwa sababu unayaleta katika wakati ambao siyo mwafaka nchini kulingana na hali ya kiutendaji katika serikali na vyama vya siasa.

Ni angalizo tu.

Umemaliza mkuu
 
Tina,tafadhali sana endelea kutupa taarifa kwani pale TPA kwa wanaopajua kumezidi kuharibika tu.Board waendelee kukomaa hadi wamtoe Kipande ili kweli ufanisi wa Bandari uliokusudiwa uje,faida ionekane kweli si siasa ya magazetini,wateja kama Maesk warudishe shehena hapo Port of DSM,mahusiano bora kazini,ajira zipatikane kihalali,heshima ya Board iwepo,maamuzi yafuate taratibu through Board na sio ya mtu mmoja(Kipande) etc.Tafadhali Tina tupe taarifa daima ili matunda ya TPA yasaidie Taifa la Tanzania na si siasa za Mwakyembe na Kipande.
 
@bibikuku, tatizo la huyu Tina haeleweki kama ni mtetezi wa ufisadi au ni mpinga ufisadi. Katika thread yake nyingine ya kumkandia Mwaki na Kipande alishindwa kujibu maswali ya wanaJF ambayo ni pamoja na kuulizwa tuhuma 22 za Kipande, hakuweza kutaja zaidi ya kusema Kipande ana lugha mbaya kwa wateja. Watu tukashangaa, hivi DG wa Bandari anakutana na wateja wangapi na wapi kiasi cha wateja kupewa lugha mbaya. Na je Tina ni mteja ndio akawa analalamika? Na pia Kipande anawanyanyasa kijinsia. Wengi tukaona ni hoja ambazo zinaelekea kukosa ukweli. Pia aliulizwa mbona hali Bandari ya kabla ya Mwakiyembe na Kipande ni mbaya sana ukilinganisha na sasa hivi ambapo walau kidogo wateja wanapata mizigo yao ikiwa salama na mapato inasemekana yameongezeka maradufu ya maradufu? Hajajibu kitu. Pia aliulizwa mbona juzijuzi tulisoma kwenye media kwamba taarifa ya mapato ya Bandari (ya kabla ya Kipande na Mwakyembe) imekataliwa na Kamati ya Bunge kwa kuwa na kiasi kikubwa cha fedha kutumika kwenye posho na safari za nje? pia hajaleta majibu. Sasa kama analeta tuhuma pasipo ushahidi na huku watu wanaona hali kidogo afadhali, kundi zuri la kumuweka huyu mleta tuhuma ni miongoni mwa waathirika wa mageuzi Bandarini ambayo kwao wao yanawandolea fursa zao walizozizoea, huenda sasa hazipo. Nani siyejua kwamba mitaa nyuma ya TRA na Central ni mitaa maarufu ya kununua Radio za magari za, wizi, Power Window, Tyre vilivyotoka kwenye magari ya watu? Kuiba nawaibe lakini wawe wanawakumbuka na wananchi nao, na wajue hakuna wizi hauna kipato endelevu.
  • Uko sahihi mkuu. Hili nilisha libaini.
 
Tina,tafadhali sana endelea kutupa taarifa kwani pale TPA kwa wanaopajua kumezidi kuharibika tu.Board waendelee kukomaa hadi wamtoe Kipande ili kweli ufanisi wa Bandari uliokusudiwa uje,faida ionekane kweli si siasa ya magazetini,wateja kama Maesk warudishe shehena hapo Port of DSM,mahusiano bora kazini,ajira zipatikane kihalali,heshima ya Board iwepo,maamuzi yafuate taratibu through Board na sio ya mtu mmoja(Kipande) etc.Tafadhali Tina tupe taarifa daima ili matunda ya TPA yasaidie Taifa la Tanzania na si siasa za Mwakyembe na Kipande.

Mlisha zoea kuinajisi Bandari naona mna hangaika sasa! Poleni
 
Mamilioni ya fedha yametengwa kumuokoa Kipande.

Baada kushindwa kuwahonga wajumbe wa bodi, Kipande na washirika wake wameandaa kikao cha wafanyakazi kwa kuwaandaa baadhi kutoa kauli za kumtetea dhidi ya bodi.

Kikao kinafanyika kesho saa 4 asubuhi na wamesema ni wafanyakazi na bodi lakini wajumbe hawajaambiwa isipokua Mwenyekiti pekee ambaye tayari walikaa kikao cha siri Sourthen Sun Jumapili. Tusubiri tuone.

Wewe Tina Wewe!. Kumbe kweli...!.
Pasco.
 
katika harakati za kukomboa kitu kuna mazuri na mabaya, lakini mazuri ndiyo yanayochomoza kwa haraka zaidi na kuonekana na wengi , sasa mtu ukija na kusema hamna lolote linalofanyika kwa minajili ya kuaminisha jambo lako watu hawatakuelewa kabisa . bandari inapitia changamoto mbalimbali inapaswa kuchukua muda kuifikia lakini cha kwanza ni mapato ambayo angalau hatua ni nzuri
 
Tina,tafadhali sana endelea kutupa taarifa kwani pale TPA kwa wanaopajua kumezidi kuharibika tu.Board waendelee kukomaa hadi wamtoe Kipande ili kweli ufanisi wa Bandari uliokusudiwa uje,faida ionekane kweli si siasa ya magazetini,wateja kama Maesk warudishe shehena hapo Port of DSM,mahusiano bora kazini,ajira zipatikane kihalali,heshima ya Board iwepo,maamuzi yafuate taratibu through Board na sio ya mtu mmoja(Kipande) etc.Tafadhali Tina tupe taarifa daima ili matunda ya TPA yasaidie Taifa la Tanzania na si siasa za Mwakyembe na Kipande.

Hamna lolote nyie MIRIJA YENU IMEKATWA,kipande mchapa kazi
 
Back
Top Bottom