Balozi Dr. Dau (PhD), mtumishi wa kupigiwa mfano

Huu Uzi wenyewe jipu! Sidhani kama jamaa huwa anafuatiliaga mambo ya nchi hii
 
Jamani Parapanda... tumuimbie...

Jana Tulikuwa Nae....

Huyu Hana Tofauti na Van Gaal Hatakiwi popote...
Ndugu huyo ni Morinho, time zote zinamtaka. Daraja La Dr Dau kigamboni limekuwa salvation kwa wananchi wake kigamboni . DAR NA tz kwa ujumla. Usafiri chee tutaona daladala, bodaboda kibao, na usafiri wa being nafuu. DARAJA LA DR DAU ni mafanikio ya great thinker.
 
Kwenye ukweli tuseme ukweli, msomi na mwanadiplomasia nguli Dr. Dau (PhD) amefanya kazi nzuri ya kulirekebisha shirika/mfumo wa hifadhi ya jamii NSSF ameanzisha miradi mingi yenye tija kwa taifa na wanachama wa NSSF. Wakati akielekea kwenye majukumu ya Kidiplomasia kama Mwenyekiti mpya wa African Union (Tetesi - baada ya Dr. Nkosazana Zuma kumaliza muda wake mwezi july, 2016) tunamtakia kila la heri na akatuwakilishe vema huko Addis Ababa.
His Excellency Ambassador extra ordinary and plenipotential Dr Ramadhan Kitwana Dau; The ambassador of Tanzania IN Tanzania! his home country; A first for Dau; and record making milestone!!!!!
 
Hahahaha! You killed it!
 
WAMESHA MUWEKA MSALABANI ; DINI YAKE NDO TATAZO

BAAADA YA KUGOMA KUFUATA MASHARTI YAO WA.
20160409_045728.jpg
 
**Hivi Balozi hana kinga ya kutoshtakiwa? maana tumeshachoka na kauli toka Vatikan
 
Kwenye ukweli tuseme ukweli, msomi na mwanadiplomasia nguli Dr. Dau (PhD) amefanya kazi nzuri ya kulirekebisha shirika/mfumo wa hifadhi ya jamii NSSF ameanzisha miradi mingi yenye tija kwa taifa na wanachama wa NSSF. Wakati akielekea kwenye majukumu ya Kidiplomasia kama Mwenyekiti mpya wa African Union (Tetesi - baada ya Dr. Nkosazana Zuma kumaliza muda wake mwezi july, 2016) tunamtakia kila la heri na akatuwakilishe vema huko Addis Ababa.
Naamini huu ni utani!!

Mwenyekiti wa AU!?
 
Ndugu huyo ni Morinho, time zote zinamtaka. Daraja La Dr Dau kigamboni limekuwa salvation kwa wananchi wake kigamboni . DAR NA tz kwa ujumla. Usafiri chee tutaona daladala, bodaboda kibao, na usafiri wa being nafuu. DARAJA LA DR DAU ni mafanikio ya great thinker.
Unafuu upi mkuu wakati Daraja ni la Kulipia.... Au Ndio yale ya kuku kufika kwa Mganga ameponzwa na Rangi yake.... Pesa ya Daraja hilo ni Pesa za Wanachama na Wanachama wake ni sisi tumepigwa... kiasi cha pesa hiyo ni kikubwa kingejenga Madaraja na si Daraja Moja......

Jamani Parapanda.... Ndio Maana Newcastle United haifanyi vizuri kumbe mdini ana hisa zake
 
Alhaji Dr. DAU jiandae 2020 chukua form utuongoze wananchi
 
Inshallah Mola akufanyiwe wepesi upangiwe kituo cha maana kama China au U.S.U.S.
 
wivu unawasumbua nyie wagalatia!!! acheni hizo! daraja mnaliona na UDOM imejengwa shida nini tena? mbona hamuhoji RICHMOND?

We mda si mrefu utapotea humu,na huko UDOM na daraja ndiko kitakachomfunga sijui anakimbilia alshababy au bokoharam yetu macho
 
Watanzania ni watu wenye wivu sana. Hawataki kumuona mtu akifanikiwa

Hivi unamuoneje wivu mwizi aliyekuibia? Huyo ni wa kumchukia kama mwizi mwingine. Tanzania ni nchi ya ajabu,mtu anakuibia halafu mnamtukuza jamaa tajiri? Tajiri kwa hela yetu? Hivi wakati anaingia nssf alikuwa na huo utajiri?
 
Nendeni mkaitaifishe Newcastle United.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom