Balozi Dr. Dau (PhD), mtumishi wa kupigiwa mfano

Kwenye ukweli tuseme ukweli, msomi na mwanadiplomasia nguli Dr. Dau (PhD) amefanya kazi nzuri ya kulirekebisha shirika/mfumo wa hifadhi ya jamii NSSF ameanzisha miradi mingi yenye tija kwa taifa na wanachama wa NSSF. Wakati akielekea kwenye majukumu ya Kidiplomasia kama Mwenyekiti mpya wa African Union (Tetesi - baada ya Dr. Nkosazana Zuma kumaliza muda wake mwezi july, 2016) tunamtakia kila la heri na akatuwakilishe vema huko Addis Ababa.
Tuhuma dhidi ya wakurugenzi na mameneja wake waliotumbuliwa zikififikishwa kwenye mahakama ya mafisadi zitamtungua huko Addis kwa kasi ya kimbunga. Hata hivyo serikali haiwezi kumsponsor kwa kazi nyeti kama hiyo wakati bado anagubikwa na tuhuma za ufisadi NSSF na ndio maana amebakia kuwa "Balozi wa Tanzania nchini Tanzania" na sasa tuna mabalozi wawili wa aina hiyo baada ya kuteuliwa mwingine kutoka TISS, Hongera zao!!
 
Kwenye ukweli tuseme ukweli, msomi na mwanadiplomasia nguli Dr. Dau (PhD) amefanya kazi nzuri ya kulirekebisha shirika/mfumo wa hifadhi ya jamii NSSF ameanzisha miradi mingi yenye tija kwa taifa na wanachama wa NSSF. Wakati akielekea kwenye majukumu ya Kidiplomasia kama Mwenyekiti mpya wa African Union (Tetesi - baada ya Dr. Nkosazana Zuma kumaliza muda wake mwezi july, 2016) tunamtakia kila la heri na akatuwakilishe vema huko Addis Ababa.
Subiri takukuru wamalize uchunguzi wao ndo apangiwe kazi na mahakama
 
Kwenye ukweli tuseme ukweli, msomi na mwanadiplomasia nguli Dr. Dau (PhD) amefanya kazi nzuri ya kulirekebisha shirika/mfumo wa hifadhi ya jamii NSSF ameanzisha miradi mingi yenye tija kwa taifa na wanachama wa NSSF. Wakati akielekea kwenye majukumu ya Kidiplomasia kama Mwenyekiti mpya wa African Union (Tetesi - baada ya Dr. Nkosazana Zuma kumaliza muda wake mwezi july, 2016) tunamtakia kila la heri na akatuwakilishe vema huko Addis Ababa.
Weka picha yako Dr Dau akuone
 
Mhe. Balozi dr. Dau katuwakilishe vyema MALAYSIA hasa katika fursa za biashara, ELIMU na TEKNOLOJIA.
 
Wewe kama ni Dr. Dau ama mwanaye ama kijana wake wa kazi ama mfukunyuku wa kupima upepo wake, pole sana. Dr. Dau hata huo ubalozi hafai kwa madufu aliyofanya pale nssf. Anapaswa kuwa gerezani siyo uraiani. Lkn ni suala la muda tu
Dr dada hafai hata kulumwagia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom