Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,679
- 8,421
Kwenye ukweli tuseme ukweli, msomi na mwanadiplomasia nguli Dr. Dau (PhD) amefanya kazi nzuri ya kulirekebisha shirika/mfumo wa hifadhi ya jamii NSSF.
Ameanzisha miradi mingi yenye tija kwa taifa na wanachama wa NSSF.
Wakati akielekea kwenye majukumu ya Kidiplomasia kama Balozi wetu ughaibuni, tunamtakia kila la heri na akatuwakilishe vema huko Kuala Lumpur.