The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,813
Una maana wewe ndo Dr.Dau?mjini mipango, kiuno peleka YAMOTO.
Una maana wewe ndo Dr.Dau?mjini mipango, kiuno peleka YAMOTO.
bwe...e sana wewe umeharibu uzi,kumbe mapovu yote hayo unatetea answar sunna sio utendaji,huyo atakuwa balozi wa segerea kama sio keko,udom na daraja la kigamboni amejenga kwa pesa zake?sasa hayo ndio yatakayomfungawivu unawasumbua nyie wagalatia!!! acheni hizo! daraja mnaliona na UDOM imejengwa shida nini tena? mbona hamuhoji RICHMOND?
Upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana! Siku zote ukimwona mtu anakimbilia ktk udini ujue uwezo wake wakufikiri hautofautiani sana na wa KUKU!nchi hii kama si mgalatia basi ni unapikiwa majungu mpaka uchoke, kaingia Mhe. Prof. Alhaji CAG yameanza makelele utadhan anachinjwa nguruwe parokiani. jamani hii nchi ni yetu wote
Nikusaidie kidogo, hakuna shirika ambapo wananchi wanapata shida kupata mafao yao, taratibu hazieleweki na usumbufu ni mkubwa sana. Nenda kaone vijana waliofukuzwa kazi migodini na makampuni ya ujenzi ya wachina wanavyohangaika kupata stahiki zao. Kaone wazee wanavyohangaishwa kupanda ngazi wakifatilia kupata mafao yao yaani ni uzurumati kwa kwenda mbele.Kwenye ukweli tuseme ukweli, msomi na mwanadiplomasia nguli Dr. Dau (PhD) amefanya kazi nzuri ya kulirekebisha shirika/mfumo wa hifadhi ya jamii NSSF ameanzisha miradi mingi yenye tija kwa taifa na wanachama wa NSSF. Wakati akielekea kwenye majukumu ya Kidiplomasia kama Mwenyekiti mpya wa African Union (Tetesi - baada ya Dr. Nkosazana Zuma kumaliza muda wake mwezi july, 2016) tunamtakia kila la heri na akatuwakilishe vema huko Addis Ababa.
Unamuonea kumuuliza swali gumu.Mwenyekiti wa AU au SG??
Tunahoji Richmond Escrow etc etc why not NSSF wakati kila kitu kipo wazi. Safari hii haponi mtu. Acha kila mtu abebe mzigo wake. Acha kuingiza dini katika swala linalowagusa Watanzania wote wenye dini na wasio dinu.wivu unawasumbua nyie wagalatia!!! acheni hizo! daraja mnaliona na UDOM imejengwa shida nini tena? mbona hamuhoji RICHMOND?
mijizi mingine hutukuzwa