Balozi Dr. Dau (PhD), mtumishi wa kupigiwa mfano

kamwe mie siwezi kumsifia kwa uwekezaji mkubwa usio na tija aliofanya. wastaafu wanastaafu malipo hayatoki kwa wakati na ni kidogo mno mno. walijineemesha sana kutokana na hiyo miradi.
 
‘uchunguzi ukikamilika’

Unasema uchunguzi ukikamilika atapigwa Mijeledi

Uchunguzi haujakamilika tayari una hukumu yako mfukoni!

Chuki zinakwamisha uwezo wako wa kufikiri!

Akiguswa mtume dau ni chuki ila akiguswa Marthin halali sababu kafir, mahaba yako kwa mtume dau yanakufanya uwe mtumwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom