VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK
tena kama wewe umemuona sweeden basi atakuwa amekuja huko mda si mrefu
Mbona tuliaminishwa kuwa amekufa jamani usanii huu mpaka lini?
Hapa juzi tuliambiwa kaja Dar kupitia Zenji, na amegeuzwa kuwa mhindi kwa 95%...
Mpaka waTZ wote tutakapoamka kama Arusha.
Hakika CCM sijui itawaambia nini Watanzania ambao kwa nyakati hii hawanganyiki kuhusu FISADI anayekula kuku kwa mrija haya wakati Watanzania wanateseka hv,kuna tetesi ya kwamba yule Profesa wa chuo kikuu aliyeuwawa na majambazi akiingia nyumbani kwake akitokea ktk shughuli zake,,,nasikitika kupata tetesi ya kwamba alionana na huyo Fisadi uso kwa uso huko majuu na ndiyo Balali akawahabarisha Mafisadi wenzake na ndiyo wakammaliza mshikaji wakijua mambo yataharibaka huku
mm naona hajafa na itakuwa ni aibu sana atakapokufa kweli hii ni syndicate kali sana km atagombea ubunge 2015