Una uhakika wa unayo sema kwa Iddi Amin, au unakurupuka tu? Au kila usomacho hata kama pumba wewe kwako inakuwa ni pepeta?
Mwizi hawezi kulala pema wewe. Lazima arudishe pesa yetu kwanza. Ebooo!!!!Thank God Rachel na Octovian hawajui kusoma kiswahili, hii habari ingewaumiza, ,acheni jamani The late Balal alale pema peponi, kha!
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
what is ua position, unataka awe mfu au hai?, ina hu?!
Anafundisha Chuo kikuu cha Havard-Marekani.Hakuwahi kufa, kwa hiyo hakuzikwa