Kipre tchetche
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 238
- 40
JFs;
Labda kuna ajuaye BAlali aliugua ugonjwa gani hadi mauti yake?😛eep:
Au mkakutana mlimani city akifanya shopping. bwaha ha ha ha ha ha. Hivi nani aliona mwili wake wakati wa mazishi? Why wamzike marekani? nani hapa JF aliyehudhulia mazishi yake atuhakikishie kwamba aliona mwili wake? bado nina maswali mengi sana kuhusiana na huyu bwana,Usije shangaa siku moja unakutana naye MILIMA YA UDZUNGWA
kaburi lake liko wapi?
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
Tanzania hii bwana viongozi wanatia
hasira sana wewe iddi amin ambae
alithubutu kula mpaka nyama za watu
lakini mwili wake umezikwa uganda Leo
hii sisi balali wajati anaondoka kwenda
nje kwa matibabu vyombo vya habari
vilisema alipokufa kwanini hatukuonyeshwa
na kwa nini azikwe nje ya nchi Iko siku
tutamwona watakimbia roho ziwatoke
kama wanafikiri hiki ni kizazi cha kusahau
hawajui kusoma nyakati.
Ugonjwa wa kizungu zungu... anatusaidia nini huyu bana!
Thank God Rachel na Octovian hawajui kusoma kiswahili, hii habari ingewaumiza, ,acheni jamani The late Balal alale pema peponi, kha!
Tanzania hii bwana viongozi wanatia
hasira sana wewe iddi amin ambae
alithubutu kula mpaka nyama za watu
lakini mwili wake umezikwa uganda Leo
hii sisi balali wajati anaondoka kwenda
nje kwa matibabu vyombo vya habari
vilisema alipokufa kwanini hatukuonyeshwa
na kwa nini azikwe nje ya nchi Iko siku
tutamwona watakimbia roho ziwatoke
kama wanafikiri hiki ni kizazi cha kusahau
hawajui kusoma nyakati.
Wadanganyika walivyo wepesi kusahau, wameshasahau tu mambo ya ufisadi uliofanywa na Balali na wenzake, baadhi yao wataipigia kura CCM iliyowakumbatia hao majambazi!