CLAY KITUMBOY
Senior Member
- Sep 8, 2009
- 110
- 4
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Hata Sokoine tulikuwa tukiambiwa hajafa, lakini hadi leo jiiiiii
yeah sure... hajafa tena wamemfanyia surgery na amekua mwanamke wa kichina... wadanganyika tunalo kwelii!!!:A S 13:
Hata Sokoine tulikuwa tukiambiwa hajafa, lakini hadi leo jiiiiii
Mwisho tutasikia na Mwalimu Nyerere na yeye yu hai.
Ingawa lisemwalo lipo.....
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
Nini hasa lengo la yeye kufanya hayo yote???. Habari hii sidhani kama inawatendea haki ndugu na jamaa wa Balali. Kama habari hii ina ushahidi kamili ni vizuri ikautoa kuliko ku-Gossip. Habari kama hizi zinashusha thamani ya mtandao na kuonekana ni sehemu ya watu kutoa habari zisizokuwa na mashiko. Tuulinde mtandao wetu uwe na ubora kama ambavyo umekuwa ukifanya kila siku.
Mwalimu na Sokoine walizikwa kitaifa kabisa na miili yao iliagwa kwa heshima zote huwezi kufananisha mazishi yao na ya BalaliMwisho tutasikia na Mwalimu Nyerere na yeye yu hai.