Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa kama yupo hai si ajitokeze tu ili aweze kudhihirisha uongo wa waliomzika !!!
 
maajabu:daudi balali aibuka na kudai kuwa yuko hai huku akitabiri anguko la chadema






wote tunafahamu kuwa aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania daudi balali alifariki dunia tarehe 16.05.2008 huko boston, marekani na kuzikwa huko huko.


lakini kwa watumiaji wa twitter watakuwa wanamfahamu daudi balali wa kwenye mtandao huo ambaye ameendelea kumuumiza vichwa vya watu wengi kuwa ni nani huyu aliye nyuma ya akaunti hiyo na akiendelea kudai kuwa bado yupo hai?


october 1 alitweet, "nitakutana na rais kikwete na ujumbe wake wiki hii hapa marekani."

anavyoonekana ni msomi haswaa na anaishi nje ya nchi. Ni mtu makini, ana hoja, anaijua siasa ya tanzania na yupo consistent! Hivi karibuni mtu huyo alidai kuwa amekuja tanzania na kulala kwenye hoteli iliyo karibu na ofisi yake ya zamani.


"in dar es salaam, hyatt regency dar es salaam, the kempinski kilimanjaro hotel. Feels good to be close to my former office, bot," alitweet november 13.

kutokana na kile anachokiandika anaonekana kuwa ni kada mzuri wa ccm na leo ameibuka na kutabiri anguko la chadema kwa kutweet,"chadema will die by disintegration. Zitto kabwe and 3 other prominent members will move to ccm,the rest will form 2 new political parties."

anasema chadema itavunjika ambapo zitto kabwe na wanachama wengine watatu wa chama hicho watahamia ccm na wengi wataanzisha vyama viwili vipya vya siasa.
hata hivyo anadai ameamua kuondoka nchini mapema na kurudi gaithersburg, maryland kutokana kuhofia usalama wake.

"i am leaving dar es salaam tonight instead of wednesday on security reasons."

mwisho ameendelea kusisitiza kuwa kweli yupo hai kwa kutweet:

i am real. Take it or leave it. Twitter is the messenger. The surprise is yet to come.
​
http://freebongo.blogspot.com/2012/11/maajabudaudi-balali-aibuka-na-kudai.html




mhujumu uchumi kwangu mimi ni mhaini tuh,,
and it doesnt make anykind of difference to me,whether he is alive or he is dead
according to my philosophy he's in hell fire now,,
and the rest will follow..
God bless tanzania...
 
Yaani mtu anakufa tena HIGH PROFILE na MOST WANTED in TZ anazikwa hata PRESIDENT haoni mwili wake mmmmh hapa tulishikwa akili. Bado nina amini huyu jamaa yupo HAI
 
Nina wasiwasi na serikali ya J.K coz sion sababu ya huyu Balaaa kuzikwa US. Ana siri kubwa sn wa uchafu uliofanywa na viongozi makanjanja
 
Alikuwepo yahaya na utabiri wa kufanana na huu cha ajabu akafa yeye na kuwaacha hai aliyowatabilia kifo wakila sembe kiulain.


Tofauti na Yahaya - shekhe (RIP) huyu balali atakufa mara ya pili? maana utabili wa aina hii huandamwa na duwaa za wantanzania kulaan propaganada na utabiri feki na kujikuta mtabili akifa!
 
Awe hai au mfu huko aliko hana amani kbs,imagine ana tofauti gan na mfungwa wa pale segerea?,hata kama ana matilioni lkn kwa style ya kuish kwa kujificha ni adha na adhabu kubwaa kbs,. Tanzania nakupenda!
 
Ebwanaee mkuu huyo bingwa simlizi yake nikama ya mtoto wa chisano alimuua mwn habari, ika sadikiwa kafa kumbe yuko reodejanero ana kula bata
 
Chacha Wangwe aliuwawa kwasababu alijua ukweli wa Daudi Balali na alishakutana naye USA akawa na mpango wa kulipua bomu bungeni
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom