Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Kuna tetesi mitaani kua jamaa kaonekana sehem flani za marekani, na aliyemuona pia bado yupo huko. Aliandika kwenye ukurasa wake kua mwenye picha ya balali amtumie ili ahakiki. Sijui jinsi ya kuaupload hyo link yake ya twitter, msaaada. Source.mimi
 
mtumie Invisible hiyo picha atakusaidia,
 
Kuna tetesi mitaani kua jamaa kaonekana sehem flani za marekani, na aliyemuona pia bado yupo huko. Aliandika kwenye ukurasa wake kua mwenye picha ya balali amtumie ili ahakiki. Sijui jinsi ya kuaupload hyo link yake ya twitter, msaaada. Source.mimi
sasa kama amemuona si ina maana anamjua?? hayo ya kuhakiki yatoke wapi??

crap
 
Marhaba said:
Aliandika kwenye ukurasa wake kua mwenye picha ya balali amtumie ili ahakiki.
Aliandika kwenye "ukurasa wake" gani?
 
watanzania tuna DEGREE ya kutunga saana , story kama kwenye kile kitabu cha nchi ya'' kusadikika''
 
Small Boy. Ndio maana juzi nilimuona Mhindi mmoja pale mtaa wa Swahili akila chips kavu, nikawa najiuliza ni Mhindi gani yuleee? Aaah, kumbe ni Balali? Nikikutana nae tena ntakutonya. Nipe namba yako ya cm eeenh?
 
Salaam ndugu.......uwapo mgeni sharti kusalimia wenyeji wako. Natimiza wajibu
 
Small Boy. Ndio maana juzi nilimuona Mhindi mmoja pale mtaa wa Swahili akila chips kavu, nikawa najiuliza ni Mhindi gani yuleee? Aaah, kumbe ni Balali? Nikikutana nae tena ntakutonya. Nipe namba yako ya cm eeenh?

Akupe namba ya simu ili ukimwona umtonye, kwani yeye yuko kwenye tume teule ya kumtafuta Balali. Au unamdanganya ili aje ummwangie tindikali. Tafadhali usifanye hivyo ni dhambi!
 
Kuna tetesi mitaani kua jamaa kaonekana sehem flani za marekani, na aliyemuona pia bado yupo huko. Aliandika kwenye ukurasa wake kua mwenye picha ya balali amtumie ili ahakiki. Sijui jinsi ya kuaupload hyo link yake ya twitter, msaaada. Source.mimi

Kwani wewe ulikuwa unaamini kuwa Balali amekufa?
 
Mara mseme yuko HAI mara Marekani,mbona siwaelewi hapo!kama yuko HAI mwambieni kamanda Mbowe,amlete dar!
 
Wanajamii nimepata tetesi kuwa dr balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania haijulikani alipozikwa na hata ndugu zake hawakuudhuria mazishi yake wala serikali haikutuma mwakilishi nataka kujua kama alizikwa au ilikuwaje?

washagundua watanzania ni wepesi kudanganya ndo maana wanawafake kwa kila kitu, jamaa yupo hai, ipo siku tanzania na uongozi fake wake wataaibika i am telling you, accrobatcs zina mwisho wake!
 
nani aliwawakilisha watanzania kwenye msiba wake
nani anajua alizikwa wapi?
nani alioona jeneza lake
report ipi ya dk yupi iliyodhibitisha kifo chake

haya maswali ipo siku yataulizwa na yataitaji ufumbuzi wa kina!hata dna zake tutazipima as long as C14 works,(carbon 14)
 
Hizi ni habari nyepesi nyepesi za kwenye vijiwe vya wakosa kazi.
 
Kwani kilichomtokea Chacha Wangwe ni nini???? .... Ohooo wengine wa CDM wakijipendekeza yatawakuta kama yaliyomkuta Chacha
 
Mbona wengine wanasema ame...... akiwa kisiwa cha malta!!!!
 
Wabongo kwa stori za kutunga wako poa. Balali is no more, nyie hamuamini.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…