Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
labda kwa wengine alikuwa ni mwizi,but to his familiy he was beloved father,kaka,mjomba etc sio fair kuwakumbusha their loss ......

Mwizi ni mwizi tu hata kama ni baba mtu
 
Na wewe wataku-Kolimba,shauri yako.Kwani wewe hujui kwamba Balali hajafa mpaka upige kelele.

kwa vile ni uvumi haya!!! hata King of rock n roll, baba mkwe wa michael jackson kwa jina Elvis Presley, washabiki wake "walimuona" katika mitaa marekani akipekua majaa, baada ya kifo chake takriban mwaka hivi kupita. Haya- aliyempiga risasi Tom Mboya na kuhukumiwa kifo "alionekana" mitaani Cairo!! - hadithi ni nyingi za aina hiyo ambazo zinakuwa hazina ushahidi. Funga kazi ni hadithi ya Marehemu Sokoine (Mungu amrehemu sana waziri wetu mkuu wa wakati ule na ambae pengo lake halijaweza zibwa) baada ya kifo chake kuingia ofisini usiku na kupangua kazi zote kwa umakini na ufanisi na aidha kutinga bungeni Karimjee.

Yote hii inakuja kutokana na utata wa maelezo yanayozusha maswali mengi ambayo wahusika hushindwa kutoa majibu ambayo ni fool-proof
 

Rumour at its best and it ought to be dismissed with the contempt it deserves.
 
Kwa kuendekeza uvumi, nchi hii haitakaa iendelee kamwe.
 
yawezekana,lakini hizo porojo zenu mda wa lunch hazikuwachelewesha kazini aisee?
 
Wakati wanaojidai wapiganaji wanaongea siasa, unajiuliza hivi hawa wapigani au wapiga porojo? Si makosa yenu ni Jumamosi leo. Mnanchekesha.

Wewe ni nani hasa huwa unajifanya kujua mambo kuliko wengine?? You must be the right arm wa mkubwa wa kaya.
I do not think whatsoever that you are a visionary genius but more of a cheap henchman.
 
Balali yuk/po hai chini ya "witness protection program"
witness wa nini ndio kitendawili. Lakini yupo hai
 
kazi ya LTK toka k'nyama..ndio waliomua prof kwa maagizo toka magogoni
 
we Dume zima acha kusikiliza maneno ya watu,ungekula na kuondoka zako.
 
Ukitaka kujua kafa/hajafa siku tatu kavu. Mungu ni mwaminifu atakupa jibu. othewise yupo katulia anenjoy uraia wake wa US.
 
Hii ndio TZ.Sasa tuongelee ukombozi wa nchi yetu kwani imetekwa na kundi la mafia.
 
mi sura yake nimeshaisahau, inawezekana napishana nae ila simkumbuki, kama vp tuwekeeni picha yake hapa ili tuanze kumsaka upya.
 
Heading yako ndo inatupa jibu hujauliza swali isipo kuwa ww ndo umetujuza
 
Kuna mtu anadai eti kunauwezekano mkubwa kuwa bwana "BALALI" ni mwana JF, Tena msikute na yeye amechangia ktk hii thread.
 


HILI NDILO KANISA LILILOENDESHA MISA YA KUMWOMBEA MAREHEMU DAUDI BALLALI, WASHINGTON DC. KULE MBELE KABISA NI JENEZA LENYE MWILI WA BALLALI .


 

Sehemu ya makaburi ya ukoo wa kina Balali yaliyopo eneo la kijiji cha Luganga, Mufindi mkoani Iringa ambako wamekuwa wakizikina ndugu wote wa ukoo wao na ndipo mahali ambapo mdogo wa nane wa marehemu Gavana Daud Ballali, Bw. Paschali Ballali (mwenye huzuni picha ndogo ndani) anaposisitiza marehemu enzi ya uhai wake aliacha wosia akielekeza azikwe hapo
 
Yeye yupo katulia tuli anacheka tu Mitanzania ndivyo ilivyo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…