BAKWATA na Mauaji Arusha

Waliouwawa pia waislamu wapo, sasa swala la udini sijui liko wapi hapo. Hakuna mahali nafasi ya rais umetajwa, viongozi wa CCM wanacheza na moto kwa kuamua kuhusisha siasa zao mbovu na udini.

 
Taarifa hiyo, ilinukuu ibara ya 19(2) inayosomeka,"Kazi ya kutangaza dini kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi na shughuli za uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya mamlaka ya nchi"

.
Nimepapenda hapa. Hata ya mahakama ya kadhi yabakie huko huko misikitini.
 

Samaki akioza mmoja wote wameoza! kwani wewe ulifikiri hao kina EL wanamapenzi na Kikwete? soo alilowafanyia mpaka wakaachia ngazi ni dogo? na ile mipasuko unayoisikia ndani ya CCM wee ulifikiri ni ya nini ile? kama hujui uliza.
 
Yaani hata yale majinamizi makuu (Ujinga, Umasikini na Maradhi) hayajamalizwa tayari watanzania wanakaribisha jinamizi jingine.

Hili lingine linakaribishwa na Chadema na Maaskofu.
 

Meya alichaguliwa kihalali, kwani hata Rais si walimkataa wacha Meya.

EPA = Mkapa

KAGODA = UWT

DOWANS = Mpaka sasa hakuna mmoja wenu aliyeleta evidence ya kuwa Dowans wamefanya kosa, kama wewe unaweza tuambie Dowans wamekosa nini?
 
Kwa wakristo kutomtka Kikwete, nadhani lina ukweli ndani yake. Tazama hata humu JF, ni wakristo wangapi wanomponda Kikwete ingawa ni wazi kabisa kuwa Kikiwete ni kiongozi mzuri, mchapa kazi na ameifikisha mbali Tanzania katika miaka hii mitano.
Wakristo wanamkataa Kikwete si kwa sababu ya uislamu wake, bali kwa ajili ya kukumbatia mafisadi na kutelekeza maendeleo ya walala hoi. Ikiwa waislamu wanamtetea Kikwete katika upuuzi wake wa kutojali wajibu wake kama kiongozi wa nchi, wakimpigia debe kwa sababu tu ni mwislamu mwenzao basi hapa mdini ni nani? Je ni wakristo au hao waislamu (na kweli si waislamu wote wanaokubaliana na upuuzi)

:angel:
 
Bakwata wao wako after Kadhi na OIC they don't bother what is happening so long haihusu Kadhi mkuu ungewasikia kama askari wangeingia msikitini na mabuti shame on them.






Acha chuki za kuaccuse dini za wengine wewe mwehu. Ulisahau kwamba yalitokea mauaji makubwa kule Z,bar, 2001. Mbona hayo makanisa hayakutoa tamko wakati Mkapa anapongeza mauaji yaliyofanywa na Polisi?Au kipindi kile kulikuwa hamna Kanisa? Au Kanisa lina ajenda na maslahi binafsi? Wewe undhani BAKWATA wanaendesha na mitazamo ya Kanisa? Jirekebishe wewe.
 
Mkuu Kaumza, heshima kwako. Hivi tuweke udini pembeni bila kujali kiongozi gani wa dini kasema nini. Kweli kutoka rohoni mwako unaona mambo yanavyoendeshwa na serikali kiuchumi, kisiasa (via ccm), kiutawala na kijamii ni sahihi? Kwasababu unapokimbilia udini kumbuka kwamba JK sio mtendaji mkuu, wapo mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi et al ambao ni mchanganyiko wa dini zote. Tusikubali kugawanywa kupitia udini tukasahau dai la msingi jamani. Mfano mmoja ni hizo pesa wanazotaka kuilipa Dowans ambazo madhara yake hayataenda kwa dini fulani tu, ni mzigo wetu sote watanzania.



 
MPUMBAVU NI YULE ANAYEONA UVUNDO AKAJIFANYA HAUONI POLE SANA!!! Change is coming ndugu ukitaka usitake
Ni change gani hiyo inayokuja? kwi kwi ..delusional fool.

Wee endelea kuwashadadia hao mashehe ubwabwa waliopewa elfu 5 watoe huo utumbo wao ilhali akina ustaadh Kikwete na RA wanakamata ilioni 100 za Dowans..sasa hapo kwa mpumbavu ni hisabu ngumu sana kuielewa.
 

Delusion is when you see a crisis in the making and then you turn a blind eye to them hao maaskofu wenu wamefanya kosa kuingilia siasa wewe unawaita masheikh walitahadharisha kuwa wapumbavu. Mpumbavu yule anayeona kosa akajifanya halioni. Kikwete na RA wanatafuna mabilioni pamoja na Edward Lowassa na Chenge dugu moja mama na baba sasa basi kama upumbavu ndio sote tuseme wapumbavu maana ufisadi hauna dini. tuondolee pumba zako hapa!!!
 
Meya alichaguliwa kihalali, kwani hata Rais si walimkataa wacha Meya.

EPA = Mkapa

KAGODA = UWT

DOWANS = Mpaka sasa hakuna mmoja wenu aliyeleta evidence ya kuwa Dowans wamefanya kosa, kama wewe unaweza tuambie Dowans wamekosa nini?

Another LUNATIC
 

Wewe mpumbavu...hebu nijibu kwanza change gani hiyo inakuja..nataka kuzipa mbavu zangu mazoezi kwa kicheko.
 
Kwa wakristo kutomtka Kikwete, nadhani lina ukweli ndani yake. Tazama hata humu JF, ni wakristo wangapi wanomponda Kikwete ingawa ni wazi kabisa kuwa Kikiwete ni kiongozi mzuri, mchapa kazi na ameifikisha mbali Tanzania katika miaka hii mitano.

Ndugu yangu mimi ni Moslem Safi....lakini hili la kuoanisha mabaya ya serikali ya kikwete na wakristo kum-hate kwa sababu ni mu-Islam sikubaliani nalo...wewe unafurahi nchi hii inavyooza?..reflect back kuhusu Richmond..Dowans..na jinsi issue nzima ya Dowans inavyopelekwa msitake kupata sympathy ya waislam wakati mnachumia ktk matumbo yenu na familia zenu....tulipokuwa tunasema Ben afikishwe mahakamani kwa sababu ya ubadhirifu wa mali za umma hatukusema vile eti just kwasababu Ben alikuwa ni Mkristo na sisi eti ni waislam..tunazungumzia suala la maadili kwa ujumla...JMK nchi imemshinda..anakaa kimya sana ktk masuala muhimu ya Taifa...Lowasa na Al Hadji Shamsi wana suggest mazungumzo....makamba na chitanda wanasema wasioridhika waende mahakamani...Yeye Mkulu amekaa Kimya...hapo unategemea kutu-convince kwamba ni UDINI?...Uislamu ni Imani yangu hivyo usiutumie kama kinga hasa pale unavyotakiwa uwe responsible kwa mabaya uliyoyatenda...Kukua kwa gharama za umeme.Petrol..Cemet..Nondo..Nauli za daladala..Nauli za mabasi ya mikoani..si masuala ya kidini...tafuta utetezi mwingine ila usilete udini.
 

Kumbe ulisahau wakati ule watu 27 wapouawa Z,bar alkuwa anaongoza Mkatoliki Benja, na Kanisa halikutoa tamko. Usiwe na kicwa cha panzi au kujifanya msahaulifu.

 
Naona Kim Khardshian wa JF kakimbia.

Ngoja nitambae zangu..maana ukikaa karibu na makanithi mwishoe utazoea kharufu zao..
 
Ulikuwa wapi wewe?? Nimekutafuta sana leo
 

Kwa vile hii unairudia rudia sana naona kuna umuhimu wa kukujibu. Hii ni sehemu kutoka muandishi mmoja kuhusu mauaji ya Mwembechai.


Nimeitoa hapa: http://www.igs.net/~kassim/mwembechai/mchai-appendix.pdf

Pamoja na kujaribu sana kupindisha yaliyotokea na kuyaunganisha na kanisa katoliki hakuna mahali ambapo amefanikiwa. Padre Camillus Lwambano hakushangilia mauaji ya Mwembechai kama ambavyo unataka tuamini (kama kuna mahali alifanya hivyo basi tuwekeeni ushahidi) bali yeye kama wakristu wengine ( si wakatoliki peke yao) na waislamu moderates alikemea hali toxic iliyokuwa imeenea nchini ( hakuzungumzia mwembechai bali nchi). Kwa mara ya kwanza tangu uhuru wetu nilishuhudia mikutano ya wazi ya baadhi ya waislamu ambayo lengo lake kuu lilikuwa kupinga na ku-discredit ukristu. Hawa ndugu zenu hawakuishia hapo, wakawa wanaweka kanda za kejeli dhidi ya ukristu na kuzibroadcast kwa sauti kubwa 24/7. Lugha ya confrontation ikawa imeingia nchini mwetu. Alichokizungumzia Padre Lwambano lilikuwa mioyoni mwa wengi maana tayari paliisha anza kutokea vikundi vya vijana wa kikristu ambao nao walikuwa tayari kupambana na hao ambao waliona wanatukana dini yao. Alikuwa anaonya, kama alivyosema huyu Sheriff wa Pima County, marekani kuwa vitriolic language zina consenquence zake. Na ni kutokana na mwamko huo wa kidini ndipo kilipojichotekeza kikundi cha waislamu wenye msimamo mkali na kutaka kuondoa uongozi wa msikiti wa Mwembechai wakidai kuwa hawana imani nao. Hawakuishia hapo bali waliwaonya kuwa wakiendelea kung'ang'ania nafasi zao watawacharaza bakora ( tukumbuke viongozi hao walikuwa watu wazima) na vitisho vingine hadi waachie ngazi. Ni uongozi huo ulioomba ulinzi na msaada kutoka kwa serikali ili yasiwakute ambayo waliahidiwa. Na askari kweli walienda na kuwakuta vijana wamejitayarisha kwa mapinduzi. Lakini kama tulivyoshuhudia Arusha na sehemu nyingine ( migomo ya wanafunzi), askari wetu hawajui njia zaidi ya mabavu. Ubabe huu ndio uliopelekea vurugu kutoka kwenye msikiti hadi mtaani ambako waliokuwemo na wasiokuwemo wakapata mkong'oto. Wengi kati ya waliojeruhiwa walikuwa wafanya biashara ndogo ndogo ambao sio wote walikuwa waislamu. Sasa katika hili, mlitaka Kadinali Pengo awaombe radhi waislamu kwa lipi? Kwa kuonya kuwa lugha inayotumiwa na baadhi yetu itatufikisha vibaya? Si alikuwa ana-state the obvious? na si tuna yaona hadi sasa ambapo kuna mpasuko mkubwa wa kidini katika jamii yetu? tumefika mahali ambapo tunakataa ku-sympathise na outrage ilionyeshwa na upande mmoja kwa vile tu ni wa dini nyingine!

Amandla.....
 
Kumbe ulisahau wakati ule watu 27 wapouawa Z,bar alkuwa anaongoza Mkatoliki Benja, na Kanisa halikutoa tamko. Usiwe na kicwa cha panzi au kujifanya msahaulifu.


Na Rais wa Zanzibar alikuwa mkatoliki!

Amandla.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…