Sir R
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 2,175
- 300
Kwa wakristo kutomtka Kikwete, nadhani lina ukweli ndani yake. Tazama hata humu JF, ni wakristo wangapi wanomponda Kikwete ingawa ni wazi kabisa kuwa Kikiwete ni kiongozi mzuri, mchapa kazi na ameifikisha mbali Tanzania katika miaka hii mitano.
Hivi uliwahi kubakwa?
Maana una akili ndogo nafuu ya kuku, Uzuri wa uongozi wa JK uko wapi?
Rais anashindwa kuwajibisha viongozi wa halifu ndani ya nchi.
Peleka upupu huu kwenye vikao vya CCM si hapa. watakupigia makofi kwani unafanana nao