mgaza2001
Member
- May 5, 2010
- 96
- 29
wewe unataka kukumbusha watu mambo ambayo yamesahaulikaHivi Mv Dar es salaam ipo?
wewe unataka kukumbusha watu mambo ambayo yamesahaulikaHivi Mv Dar es salaam ipo?
Acha kugeuza watanzania kama wajinga!Hapa ndiyo ilipo changamoto ya Mtanzania,watu wanazungumzia meli iliyoshushwa na Kampuni ya Bakhressa,wewe unazungumzia idadi ya Waislamu kwenye Kampuni yake,tujifunze kudeal na issues watanzania wenzangu na siyo watu,haitatusaidia zaidi ya kutubomoa!
Ustaarabu haununuliwi mkuu.Kwa mtoto wakike hata kidogo,ingekuwa unakojoa imesimama sawa,au ingekuwa kila mwezi huvuji ungenibamba ila kama unavuja ,sahau hilo kabisa.
Mkuu povu la foma gold la nini?! Au na Wewe ni mshirikinaHebu fafanua uharo wako wewe kenge,karne ya 21 unaongelea ushirikina?,hebu jichunguze pale katikati mapumbuuzz yako yanapokaa,utaona chupi imetoboka na pumbuuzz zako zimevuja mpaka mkunduniiizzz au vipi? ,na ukikaaa tu unayakalia mapumbuuzz yako yanapasuka kama mayai viza.
Alafu anatueleza eti anapambana na ufisadi!Tuwekee na picha ya ile aliyonunua Magufuli kwa bilioni 8 ikafanya kazi kwa wiki tu sasa iko juu ya nawe.
Unachosema ni Sahihi David kwasababu hata kodi analipa kwenye Mamlaka ya Mapato ya Waislamu(Muslim Revenue Authority)Uwekezaji wake una tija kwa waislam na sio kwa taifa,binafsi sina cha kumpongeza labda shehe abdallah,juma na khamis wao kwao hii ni fursa sishangai wakimpgia chapuo hapa
Incharge Uchawi siyo mpaka ukutwe na mahirizi,mambo yako tu yatakuonyesha wewe ni mtu wa namna gani!aisee ila binaadamu mungu anetuumba tofauti mtanzania mwenzako kanunua meli ya kisasa ambayo mimi na wewe tutapanda na ndugu zetu watapata ajira, ila wewe huku kwa roho mbaya yako umenuna sasa itakusaidia nini kama si kujitafutia vidonda vya tumbo bila ya sababu
Noted brUstaarabu haununuliwi mkuu.
Nifah siyo kila anayeweza kubonyeza keyboard ya computer ana akili wengine wana vyeti vyao vya Mirembe humu,wamepata nafuu kwa muda tu,kwahiyo tuvumiliane!Wewe ni mpumbavu, sikutegemea kwa jinsi nilivyokujibu kistaarab ungenijibu utumbo namna hii.
Anyways hii kama Jamii vichaa wapo pia,
Period.
Hii ndio ile ya bil 8?! Kweli hapa Kazi tumsitubabaishe na kidudde chenu hichoo cha AZAM.. nyie hamtufikii sisi na kidude chetu hiki cha kwenda kuleeee...
UNAONA MV DAR yetu hiyoooo.. inapiga KAZI TU
HAPA KAZIKAZI TUUU.....🙄🙄😕
![]()
![]()
![]()
Ni kweli lkn atalipa kodi itaenda kukununulia dawa hospitalUwekezaji wake una tija kwa waislam na sio kwa taifa,binafsi sina cha kumpongeza labda shehe abdallah,juma na khamis wao kwao hii ni fursa sishangai wakimpgia chapuo hapa
kaka kisu cha ngariba MV Dar es salaam kuiulizia ni kumweka matatani aliyesimamia ununuzi wake .na huchelewi kushughulikiwa maana hataki majaribu . kikubwa muombee tu .Hivi Mv Dar es salaam ipo?
Sasa uchadema unatoka wapi hapaChagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
hakuna mwanasisiem nyumbu kama wewe aseeHuwezi kuta anatamani ila mapapa wanamlia ngumuZiwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
Yakhe wallahi naenda kula urojo na gari yangu unguja jioni narejea bara.

Umenena wakat vitu vya umma inabidi viwe vzur afu cheapIngekuwa limenunuliwa na serikali, wangeleta used, bovu, bei wanafanya x2
Kuna wakristu walikwenda kuomba ajira wakanyimwa kwa kigezo cha dini zao? Vipi kuipanda hiyo meli kigezo ni dini ya abiria au? Hapa mi sipati mantiki ya hii hoja.Uwekezaji wake una tija kwa waislam na sio kwa taifa,binafsi sina cha kumpongeza labda shehe abdallah,juma na khamis wao kwao hii ni fursa sishangai wakimpgia chapuo hapa
Nasisi wananchi hatuna la kufanya ktk hilo? Natamani kuwe na kizazi huru nje ya siasa, vijana wawe wanayazungumza haya. Japo tu yasikike tu.Huwezi kuta anatamani ila mapapa wanamlia ngumu