Bakhresa Group washusha Meli mpya

Bakhresa Group washusha Meli mpya

Tuwekee na picha ya ile aliyonunua Magufuli kwa bilioni 8 ikafanya kazi kwa wiki tu sasa iko juu ya nawe.

40bccdffb4ff527495dafb6182679727.jpg
5d0d566161679d9037022cc486ed1c40.jpg
2a36d64582f1a117c8591d219bb42648.jpg


NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
 
Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,

Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
We bata maji kweli sasa uchumi wa bakhresa utaulinganisha na wa kwako au wa serikali, kwanza serikali yenyewe haina hela kama za bakhresa saivi
 
Acha uongo wewe aliletewa zengwe alikuwa ni Azim Dewji na hizo boti zilifika Mwanza sema zilikuwa mbovu mbovu sana Bakhresa kama angekuwa na nia angeweza pia kupitisha kenya hadi Mwanza

Mkuu acha kuita ita majina. Swali la msingi Lake Express 1 & 2 zilipigwa zengwe au sio?
 
Ziwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
Umri wangu unaniruhusu kukumbuka kuwa alishajaribu huko awali kukazuka mzozo mkubwa kuhusu namna ya kukisafirisha chombo kwa barabara hadi ziwani.
 
Kwenye maswala ya uchumi na biashara midini yenu, pembeni. Faida kwanza, dini bdae sana.

Kwahyo Bakhresa aache uchumi atzame ujinga huo? Ni kweli atawabaga ila kama awabebeki je?
Hata hueleweki unataka kusema nini.
 
Safi sana Azam Marine kwa chombo hiki, mnastahili pongezi kwa kutenda kwa vitendo na siyo ahadi za maneno maana ni chombo kilicho salama na kinaanza kazi mara moja.
AZAM SEALINK II
Ex.PROTOPOROS IX.
IMO: 9803754
MMSI: 542286110
call sign: E6HT2
Registered in: Niue Home
Flag :
nu.gif

showphoto.aspx


Read more at Vessel details for: AZAM SEALINK II (Passenger) - IMO 9803754, MMSI 542286110, Call Sign E6HT2 Registered in Niue | AIS Marine Traffic

2571163.jpg

PROTOPOROS IX The ship sold to Tanzania and preparing at Perama Piraeus Greece with new livery and new name for voyage destination Tanzania. Category: Ferries
IMO: 9803754
What is a ferry/ferries: A ferry is Ferry - Wikipedia
 
Back
Top Bottom