Bakhresa Group washusha Meli mpya

Bakhresa Group washusha Meli mpya

Uwekezaji wake una tija kwa waislam na sio kwa taifa,binafsi sina cha kumpongeza labda shehe abdallah,juma na khamis wao kwao hii ni fursa sishangai wakimpgia chapuo hapa
 
Ziwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
Kyle figisu nyingi sana.. Yule wa express kabaki na vimeli vyake kama mapambo
 
Aliyenunua MV Dar es Salaam hatafurahishwa na hii habari.
 
Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,

Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Hivi unafikiri Bakhresa anategemea biashara za ndani tu.

Na wanaolalamika sio Chagadema peke yao bali wafanyabiashara ndio wanaoumia zaidi. Kwa biashara za huyu mzee mapaka aanze kulalamika sio leo wala kesho itachukua maraisi kumi wenye roho mbaya na wasiojua kutawala kiprotokali ndio ayumbe kibiashara.
 
Bila shaka utakuwa muajiliwa hapo wewe mama,nakiona tu povu linavyo kutoka,ngalawa sina ila Nina zaidi ya hiyo ngalawa tena utanifaa sana ukija nikuajiri
Azam anastahili pongezi... HIVI MNAJUWA WALE MA-ENGINNER WA DMI NANI AMEWAPA MELI YA KIJIFUNZIA ??
 
Utajiri Wa Yale madude una masharti yake ukikosea unadanja au unakuwa masikini ghafla... Ni hatari sana yaani mali zako zote unajikuta umeziwekeza kwenye kamari ukaliwa zote hapo unachanganyikiwa unakuwa kichaa au kifo or unajikuta umefanya kosa kubwa ukafungwa su ukataifishwa n.k ni utajiri wa mateso bila chuki...
Wivu ni kitu kibaya sana.
 
Uwekezaji wake una tija kwa waislam na sio kwa taifa,binafsi sina cha kumpongeza labda shehe abdallah,juma na khamis wao kwao hii ni fursa sishangai wakimpgia chapuo hapa

Uwiiiiiii!!

Nyie wakristu gani wenye roho ya ubaguzi na ubinafsi namna hii!!

Kweli mnasali na kmfuata Kristu kweli!!!

Tuombe toba!!

Hakuna waislam wal wakristu wala wakaskazini wala wa kanda gani!!

Sote ni watanzania tupendane.

Akifaidi yule leo kesho utafaidi wewe!!!

Hakuna anayestahili muwa na mwingine fundo la muwa!!

Being a catholic nakwazika sana na hizi post za kubaguzi!!!

Mod!!! Naomba ujitahidi kukemea Jf isiwe jukwaa la kuleta mpasuko na chuki miongoni wa jamii!!!
 
Uwekezaji wake una tija kwa waislam na sio kwa taifa,binafsi sina cha kumpongeza labda shehe abdallah,juma na khamis wao kwao hii ni fursa sishangai wakimpgia chapuo hapa
Nawewe weka uwekezaji wako ili uwafaidishe unaowataka,watu wenye mawazo mgondo kama yako ni vigumu sana kuendelea.
 
Alete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Alete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Mkubwa jua hafanyi biashara ya kisiasa, eti akuridhizishe wewe, mfanyabiashara hufanya biashara inayomlipa ukizingatia kule baharini hana mpinzani kwa sasa. Unajua chuki, roho na roho mbaya hujenga umaskini, wewe unataka umwelewe Bakheresa yeye anakuelewa.
 
Back
Top Bottom