Acha point za kitoto hapa. Mkiambiwa ukweli mnaita ubaguzi.
Mm napo fanya Kazi ni RC institution, ila wameajiri na Waislam, ebu ww tutajie Mfanyakazi mkiristo Amana Bank au Shule yoyote ya Muislam?
Kati ya watu 10 wenye degree. Muislam ni mmoja (1), kati 100 six leavers 100 waislam ni 20, iweje kwenye ajira kampuni X iwe vice versa?
Mf. Wachaga wamesoma sn hata ufanye nn kila Benki utawakuta wengi tu. Haitatokea kwa Tz hii Benki kukawa na Wazaramo wengi kuliko wachaga. Reason wamesoma!!
Mm huwa sina lugha za kiswahili, za kupindisha ukweli. Napiga mlemle tu.
Ukipenda ujinyonge. Ukweli unabaki palepale.