Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Bakhresa mjanja sana.Pipa kawaachia nyieAlete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Bakhresa mjanja sana.Pipa kawaachia nyieAlete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Hahaaa,kweli mpwa naona mizinguoBakhresa mjanja sana.Pipa kawaachia nyie
Ipi iyo kakaNa ile mv singida, iliozindulia na mh bado aijaanZa kazi?
Alafu kwa, nini hua anaipotezea kuitaja?
Siku akienda, kule kwenye mv msingida, atatumbua wengi
Tatizo likawa lipi? Hakulipi au?Unafikiri ajawai kuwafikiria?
Siwezi jua atakuwa ana endelea kuwafikiria tumpe muda.Tatizo likawa lipi? Hakulipi au?
Wengine walisema labda wanampa kauzibe tu. Hapo nilipata shida kidogo. Poa, ila lile limeli lingeenda Victoria bana, labda magari lakini abiria tu sidhani kama zenji Dar ni wahitaji sana.Siwezi jua atakuwa ana endelea kuwafikiria tumpe muda.
Zengwe au ukweli kuwa ataharibu barabara unajua uzito wake hadi useme ni zengwe? Kwani serikali inapokataza ukeketaji kwa wanawake ni Zengwe?Mkuu acha kuita ita majina. Swali la msingi Lake Express 1 & 2 zilipigwa zengwe au sio?
Bavicha's followersIngekuwa limenunuliwa na serikali, wangeleta used, bovu, bei wanafanya x2
labda serikali ya mkwere..ila ya msukuma..analipa cash..tena haongei na mbwa..anaongea na mwenye mbwa..Ingekuwa limenunuliwa na serikali, wangeleta used, bovu, bei wanafanya x2