Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Labda anawapenda Sana.Hivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Labda anawapenda Sana.Hivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Nawewe weka uwekezaji wako ili uwafaidishe unaowataka,watu wenye mawazo mgondo kama yako ni vigumu sana kuendelea.
Nifah nakupongeza, umemjibu vizur sn. Watu wengine sijui wapoje. Yaani always wao ni kupinga tu. Big upWewe unayo hata ngalawa?
Penye kustahili sifa pongeza,huwezi kaa kimya utaonekana wa maana zaidi.
Asante sana mkuuNifah nakupongeza, umemjibu vizur sn. Watu wengine sijui wapoje. Yaani always wao ni kupinga tu. Big up

Bombardier zinatosha tena mwakani inakuja BoeingAlete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Hahahaaaa pole sana mkuu,seems like jiwe la jana lilikupata kisawasawa.Nimekutana naye Kariakoo nifah.

Kwa mtoto wakike hata kidogo,ingekuwa unakojoa imesimama sawa,au ingekuwa kila mwezi huvuji ungenibamba ila kama unavuja ,sahau hilo kabisa.Hahahaaaa pole sana mkuu,seems like jiwe la jana lilikupata kisawasawa.
Sometimes tunawekana sawa tu,don't take it personal/serious.
Peace![]()
If ur still alive u can be a KingWhen Im grown up I want to be Bakhresa wallahi
Ha ha ha huenda mkuu.Labda anawapenda Sana.
Hata Observation inatosha.Huo utafiti uliufanyia wapi? Na lini mpaka ukapata hiyo figure?