Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,740
mv dar es salaam sasa ni Mali ya jwtzHivi Mv Dar es salaam ipo?
mv dar es salaam sasa ni Mali ya jwtzHivi Mv Dar es salaam ipo?

Si mlidai alipi kodi? Na hii imepita kimya kimya mkuu Pole poleChagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Only muslims pls.Fursa hiyo...ichangamkie.jaribu kutuma application, unaweza ukabahatika wakakuchukua.jamaa kimalipo sio wabaya.
Ipo Nyehunge... Mwanza-NansioZiwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
Shikamoooo Bakhresa.
Hahaaa hahahaaa! Ngalawa! Si ajabu hata mtumbwi hauwezi!Wewe unayo hata ngalawa?
Penye kustahili sifa pongeza,huwezi kaa kimya utaonekana wa maana zaidi.
hilo tukio nalikumbuka vizuri sana.
hivi ni nani alikuwa waziri wa wizara iliyokuwa inahusika na masuala ya miundombinu na usafirishaji wa kipindi hicho?.
nasikia itakuwa inaenda visiwa vya comoro na sheli sheli![]()
![]()
![]()
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
ni Le MutuzNahodha wa hilo dude ni Mgalatia au Muislam?
![]()
![]()
![]()
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
unaleta siasa kwenye meli ya mtu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
VINAKUJA VYA SAMPULI HII AU ATABADILISHA??kwa mujibu wa maelezo ni kwamba after hicho kivuko kuna vingine vinne vingekuja, MREJESHO TAFADHARI KWA ANAEJUA
Ziwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
Mawazo ya kijinga kabisa haya!Nahodha wa hilo dude ni Mgalatia au Muislam?
Huo utafiti uliufanyia wapi? Na lini mpaka ukapata hiyo figure?Hivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Vikwazo gani?Mkuu ArD67
Kanda za maziwa Victoria Na Tanganyika ziko fursa nyingi Ila vikwazo vingi vinawakatisha tamaa wawekezaji.Sijui Serikali haitaki washindani? Au mradi tukose wote.