Hata ije ndege ya bure Yanga hawakubali tena kwenda Znz.![]()
![]()
![]()
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
Ingekuwa limenunuliwa na serikali, wangeleta used, bovu, bei wanafanya x2
Mnanitonesha kidonda kichungu sana aiseeHivi Mv Dar es salaam ipo?
Mkuu hiyo siyo panton wala siyo boti, ni meli, meli ni zaid ya pantoni na botiHivi hiyo ni boat au "Pantoni"? Hivi kisheria "Pantoni" inaruhusiwa kufanya safari ndefu kama hizo za Dar- Zanzbar?
Wekeza wewe na familia yako, mbona unamng'ang'ania?Niwewe ni mmoja wao nini??angewekeza na angani sio baharini tu
Ww mbn mnafki sna? Pende vya nchi yko!! Hutoona mkenya akaja Kusifia vya Tanzania hta cku 1 PAPASI weweIngekuwa limenunuliwa na serikali, wangeleta used, bovu, bei wanafanya x2
Ni mdini huyu mzee sijapata kuona,ukiona watu wanamshobokea et oooh ameleta ajira basi ujue ndugu zake waislam haoHivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
...shee Juma analudi toka kazini kaacha kucheza bao
Mrembo wa kweli,tena nakufagilia kihasa hasa,inakuwaje unakuwa tofauti na uzuri wako?,au hujiamini na labda kuna walakin?
Aibu kwao walioleta pantoni ya Dar Bagamoyo iliyoshindwa kufanya kazi. Tunaomba watumbuliwe kama walivyotumbuliwa wengine.![]()
![]()
![]()
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
Vituko vya bwana yule.Ingekuwa limenunuliwa na serikali, wangeleta used, bovu, bei wanafanya x2
![]()
![]()
![]()
NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
Ingekuwa limenunuliwa na serikali, wangeleta used, bovu, bei wanafanya x2