Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,806
Tumpe urais 2020kwanini mh magufuli asiongee nae huyu mzee? atamsaidia sana kuinua uchumi wetu.

Tumpe urais 2020kwanini mh magufuli asiongee nae huyu mzee? atamsaidia sana kuinua uchumi wetu.

Hata mi nafikiri, ingeenda ziwa victoria ipige route za mwanza - bukobaZiwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
We Slim 5 acha utan! Itakuwaje nchi ya watu wakati 26 april ziliungana na kuwa nchi 1. Kale ni kama mkoa wa singida tu,Acha kujipendekeza kwa nchi za watu!
Haaa. Haaa. Haaa.We Slim 5 acha utan! Itakuwaje nchi ya watu wakati 26 april ziliungana na kuwa nchi 1. Kale ni kama mkoa wa singida tu,
Kwanini mkuu?Mawazo ya kijinga kabisa haya!
Una uhakika?Hivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Wabongo dah always negativityAlete na pipa ntamuelewa asikazanie mimeli tu
Ipo wazi kama K ya mbuzi.Una uhakika?
Ipo...!!!Hivi Mv Dar es salaam ipo?
ipoHivi Mv Dar es salaam ipo?
Kwa hiyo sasa Bakhresa kawa kimbilio lenu? Vipi zile tuhuma mlizompaka za kukwepa kodi na kuficha sukari?Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,
Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Zamu ya wagalatiaTumpe urais 2020![]()
![]()
![]()
Muhusika yuko mjengoni nani wa kumfunga kengere shingoniHivi Mv Dar es salaam ipo?
kaka kisu cha ngariba MV Dar es salaam kuiulizia ni kumweka matatani aliyesimamia ununuzi wake .na huchelewi kushughulikiwa maana hataki majaribu . kikubwa muombee tu .
wenzie wezi yeye mtakatifu