Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa mkuu wahindi na uislam wapi na wapi? bora hata ungesema kajaza channel za kiarabu kidogo ungetushawishi. tuache chuki zisizo na mpango tuchape kazi.
 
Nimepunguza kununua bidhaa zake muda mrefu Sana nitanunua endapo nitakosa bidhaa ninayoitaji katika hilo eneo
 
Ujinga ni mzigo kweli, ukaona wahindi wote ni waislam kwa akili zako na hicho ndio kigezo chako cha Azam kuwa wabaguzi.
Kinachokuhangaisha ni chuki na itakusumbua kweli.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Tusema walionipa like ni kwa kufanana kwetu ujinga. Hapo utakuwa hujanitukana.
 
Anzisha kiwanda chako...! acha kulalama. Nimesoma heading ya uzi tu sijasoma post ya kwanza. Tusilaumiane.
 
Nimepunguza kununua bidhaa zake muda mrefu Sana nitanunua endapo nitakosa bidhaa ninayoitaji katika hilo eneo
Usipokunywa utakula, halafu kupitia hela ysko uliyokuwa unanunulia hivyo vitu kajenga na hotel ksbisa na watu wataenda kwa fujo bila kujali hizi kelele za vijana wanaotaka kwenda kupiga picha na videmu vyao kusikia hapo sio danguro mje mkiwa na vyeti vya ndoa na kama ni pombe nendeni mtaani baa kibao.
 
mtoa mada wewe ndio.mdini
umefanya wapi hiyo comperative study mpaka ukakaja na hii conclusion ya hovyo. unasema bahresa ni wadini je umelinganisha na taasisi gani nyingine?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…