Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Ukianza kuchuguza bata utamla.sasa wewe uliyotowa post je?ukienda coca hata kazi upati wewe sio wa kulekule.leteni hoja za muhimu humu ndani.nenda coca kamatapata kazi.acheni kumchuguza bata.
watu kama hawa wanaolalamika kuwa wanabaguliwa kwa udini ni hatari sana pahala pa kazi. hawa ndio wanaanzishaga migomo kazini. safi sana azam
 
usihangalie tv tu tambua pale yupo tido ndio maana wanashindwa kuwaweka majina hayo but ni wadin sana hao fanya utafiti uone
kwahiyo pale azam tv wanamuogopa tido? [emoji23][emoji23][emoji23] tuache majungu na wivu tuchape kazi
 
Wewe mwenzangu mla kitumoto utaweza kubeba majini ya biashara yake? Pana siri kuu hapo. Waachie wenyewe. Nilikuwa na kingamzi chao nimepaki. Juis zao siku hz siuz. Unga wao pia nataka kuacha kuuza. Dini had kwenye biashara! Ujinga mtupu!
 
world vision ni la kidini kama ilivyo Compassion,wanataka uwe unajua biblia na hata mkatoliki anayesomewa tu biblia hawezï ajiriwa huko, bakhresa hajasajili Shirika la dini,kwahyo tunamripoti kunakohusika
hamna lolote mna wivu tu nikama ilivyokuwa kwa Dr.Dau pale NSSF lakini Magufuli akashtukia ni majungu yenu akayapiga chini akampa cheo cha ubalozi. pigeni kazi acheni wivuu
 
Mleta uzi na wote mnaolalamika anzisheni vya kwenu nanyinyi muajiri mnaowataka ndio suluhishi.crdb x mas wanapamba matawi yao yote lakini haukuti wakipamba ktk ramadhan na iddi.na wala hakuna mtu aelalamikia hilo.tulalamikie ofisi za umma tu ndio mali zawote.sasa je hilo lipo au halipo?
 
Tukitoka kwa bakhressa turudi serikalini napo vipi tuanze na wizara ya elimu
 
Mleta thread una maana..'interview ni kujua kiarabu na juzuu kadhaa,halafu uwe na baraghashia na kanzu mpya,ama unatupia na suruali fupi...na makobanzi..

au sijaelewa?
😀😀😀
 
Povu jingi kiasi hiki mtoto wa kiume ! Hebu pambana na hali yako unataka kumpangia taratibu za kuajiri ?
 
Mkuu ni kwelu kabisa ndio maana Charles Hilary kapewa kazi ni muislam yule hata na Patrick Nyembera wote waislam wale,uko sahihi kabisa
Ongezea na ivona kamuntu alitekuwa star tv zaman nae ni muislam swala 5
 
Ndio maana wakamtimu Joseph Omog pale Azam fc wakamleta yule mzungu muislam....udini mbaya sana charles hiraly nae alikuwepo nchini muda mrefu ila mpaka alivyobadili dini na kuwa muislam ndio wakamuajiri....dah
Hilary alibadili dini?
alafu BBC swahili uislamu 98%
 
Kama iki kiwanda cha tazara kina ad msikiti ndani pia bado wafanyakazi wanabaguana wenyewe kwa wenyewe ndani mslam wa kitanzania ana treat wa tofauti na wenye asili ya ki asia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…