Wewe ambae unafahamu UKWELI, kwanini basi usiweke hapa FACTS & FIGURES?!Fwatilia mkuu.. ukweli upo
Hakuna akiliNajua sio Mungu, ila anaonekana kwako wewe ni mungu wako
Vyovyote usemavyo ila ndo hakuna kazi wala kitimoto nyieHivi ule ni mfungo au sherehe za kula bila kipimo??
Ila kuna nini?Hakuna akili
Na cloud Kuna nn mkuuuIPP kuna UCHAGGA, AZAM kuna UISLAM, SAHARA kuna USUKUMA
Nikisema pale kuna wafanyakazi 700 na miongoni mwao Wakristo ni 450 na Waislamu ni 250! Will it make any difference kwa kuzingatia uwasilishaji wako wa takwimu?!Jumla pale kuna wafanyakazi 271 Wakristo wako 31 tu. Tena wengi wao ni wake za hao waislamu... Hapo ni pale HO
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha duh!mwanaume kalalamika mh! Hii ni dalili mbaya kwako.Hilo liko wazi kama we si muislam upati Kazi labda ubadili dini angalia hata Azam media,marine, labda uwe na utaalamu ambao hakuna jinsi utachukuliwa,udini ndo umeua shule nyingi za kiislam,wakati seminary za Kazi kikristo ukiwa MWALIMU kichwa dini sio kigezo.Makampuni mengi ya waislam hata mighahawa dini ndo CV ya kwanza kisha ufata vingine. Mifano hi ni mingi.
Wewe ambae unafahamu UKWELI, kwanini basi usiweke hapa FACTS & FIGURES?!
Halafu watu wa aina yenu hata mkiambiwa mtaje physical locations ya biashara za Bakhresa huenda wala hamfahamu let alone kufika!
Lakini licha ya yote hayo, mnataka kusema mnafahamu demograph ya wafanyakazi wao wote!!
Ukweli mchungu ni kwamba, nyie ndugu zetu wa upande wa pili ni Wabaguzi!!
Msipowa-profile watu kwa dini zao basi kwa makabila yao!
Wakati wa JK ilikuwa kila cku kulalamikia udini kila linapoteuliwa jina la Mwislam ingawaje ratio ya Muslims in government offices ilikuwa far less compared to Christians hata kwa teuzi alizokuwa anafanya JK mwenyewe!
Ikulu kaingia Mkristo mwenzenu; mmegeuza kibao na kukimbilia kwenye ukabila!
Hiyo ndiyo dhambi ya chuki na ubaguzi aliyokuwa anaisema Mwalimu!
Juu akiwepo mtu asiye wa dini yenu, mtamtuhumu udini... akija wa dini yenu, mnageukia ukabila!
Shame on y'all! By y'all I mean Muslims and Christians mnaondekeza chuki za kidini na ukabila.
Hahaha mkuu unamreport wapi mtu na kampuni yake? Umewahi kufanya research IPP media umegundua ni dini gani na Kanda gani hupewa kipaumbele? Mimi sio mdini lakini ninachokiona nchi hii kitu kikifanywa na upande mwingine sawa ila wakifanya waislamu inakua tatizo.world vision ni la kidini kama ilivyo Compassion,wanataka uwe unajua biblia na hata mkatoliki anayesomewa tu biblia hawezï ajiriwa huko, bakhresa hajasajili Shirika la dini,kwahyo tunamripoti kunakohusika
Kumbe na wewe ssb inakuhusu?Sheria za ajira zinapinga ubaguxi wowote wa dini,chama,kabila, jinsia, ulemavu nk.Hakuna kitu kinaitwa binafsi ukishahusha wengi.
basi huyo bakhresa akafanye kazi na bidhaa zake huko kwao uarabuni coz huku hata sis makafiri tunanunua bidhaa za mbaguzialexelias
Bro usilie sana hata serikalini wanaochukuliwa kwanza ni wakatoliki halafu ni madhehebu mengine ya kikristo mwisho ndio hao waislamu. Na Bakhresa.anafuata system ilivyo na watu wake wa katibu ni jamaa zake na majirani wamtaani kwake ambao wengi ni waislam na anafuata maandiko mpende jirani yako na wakaribu yako. Kwa hiyo funga domo wacha kulalamika lalamika
Sie watu tuna matatizo c kidogo na ni Malofa hasa!Ila kweli Mkapa hakukosea alipotuita Malofa!
Hivi wewe akiteuliwa Muislamu, Mkristo, Mpagani, Kafiri etc...does that add anything or bring food on your table??? Unafaidika nini haswa??
Sasa naelewa kwa nini JPM ameamua awachape viboko tuu hakuna namna! mwisho wa siku ni kulialia "hali ya uchumi ni mbaya sana"...and yet there is nothing you can do about it! Same applies kwa Bakhresa watu wanalalamika but they cant do anything to change the situation! If you cant keep quite!
Watu mnataka kutoana roho kwa kushabikia maisha ya wengine iwe kwa mgongo wa vyama/dini/ukabila/ukanda nk.....mwisho wa siku kama ulikuwa ni peasant utaendelea kuwa peasant. Kama ulikuwa katika wale wanaopanga foleni na kuvaa sare za chama kupokea wengine..utaendelea kuwa hivyo! It will never add value to your life. Never.
waTanzania tuamke. Duniani ulikuja mwenyewe. The world doesn't owe you anything! pambana na hali yako!
Kwa hiyo hakuna wanaotumia bidhaa za mkristo mwenzao na wakasema wanatumia vya mkristo mwenzao??mbaka watu wanaotumia ving'amuzi vyao wanasema wazi wanatumia vya muislam mwenzao nimeshuhudia kwa macho yangu wakisema
Hili jambo ni kweli hata kwa wale wanaotaka kufanya field kwenye meli zake kama wewe sio muislam inakuka kwako, ukimuona mkristo ni kutoka kwa mtu wa serikali.Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.