Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Mkuu vipi kuhusu story za majini pia maana nasikiaga. Au ni kuharibiana tu biashara?
 
nimegundua wakristo baadhi tuna wivu ssna na azam na hasa kwa sababu ni muislam. Mungu atusamehe. nawataka radhi waislam kwa niaba ya wakristo.
 
Hapana hii haitakiwi maana kila kampuni ikifanya hivi unafikiri nchi itakuwaje? Kutakua hakuna haja ya kuwa na watu competent bali wafia dini tu
 
Jamaa ni wadini kweli hawa........
 
nimeuliza swali tu hawa wakristo walioajiriwa azam media kwao ilikuaje?
Ndugu Heading haijasema hakuna wakristo kabisa,but ni wachache na hawako idara nyeti, fikiria kama pale AzamICD utawala wote kuanzia general manager mpka mfagizi walikuwa islamic kasoro mtu mmoja tu operation manager ndo alikuwa Christian napo ni msaidizi tu, sasa hiyo hali waionaje??? Yaan mpaka operator wa ile machine ya kunyanyua container ni Islamic na si Azam tu hata pale kwa TRH ni hivyo hivyo na ukiwa Christian unapigwa majungu mpaka wanakung'oa kazini
 
To be honest hii mambo nishawah kujiuliza maana kila nikipita pale azam tv hata kwa mbaya....
Yan lazma ukute ni kanzu...tu.

Mkulu kaiona hii comment ur next bakhesa !!
Hapa sio uarabuni ni Tanzania hakuna udini...
Kwa kweli hata mimi naona mawaziri weeengi wamevaa kanzu
 
Ukiona hivyo aidha hao wanaonyimwa kazi itakuwa HAWANA VIGEZO, ama uzoefu unaweza kuwa ulionesha WAMEKITHIRI KWA WIZI NA ULEVI.
Swali A: Ni lazima wakatafute kazi kwa SSB pekee hawana kwingine?
Swali B: Hivi Tido Mhando na Charles Hillary ni waislamu pia? Je ingekuwa udini wangestahili nafasi hizo?
Ukimiliki kichwa jua namna ya kukitumia.
Kichwa si pambo katika mwili.
 
Kwenye media lazima achanganye ili kufunika kombe

Ila kweli azam imejaa udini ukienda kuomba kazi unaitwa shedrak wanakuangalia km kituko hivi

Ila akienda mtu kavaa balagashia kesho yake anaitwa
nadhani ni wivu tu nawafahau wakristo wengi tu wameajiriwa na bakhresa
 
Kuna rafik yangu anaitwa Anthony amewah kufanya kaz kwa bakhresa
 
Kwa hiyo wakristo wakiwa wengi wameshinda kwa vigezo ,wakislam wakiwa wengi wana udini,
Nina shaka na elimu yako
Kwahiyo seminary za kiislam kuongoza kwa kupata zero na zile za katoliki kuongoza kwa kupata div.1 huwa ni upendeleo sio? Serikali haiwezi kuacha watu wenye ueledi na kuajiri vilaza kwa kuwaonea sympathy; huko Azam kuna ubaguzi wa wazi wazi na dini huangaliwa zaidi ya ueledi
 
Hata wauza ice cream wote ni mayakhe
 
Hujalazimishwa kununua bidhaa za bakhresa.

Unaenda kununua kutokana ubora wa bidhaa zilizotengenezwa na waislamu. Sioni tatizo lipo wapi.

Mbona sirikali inayoendeshwa kwa kodi zetu inabagua watu wa kuwaajiri kwa misingi ya dini (ukiristu) na ukabila (kada ya ziwa)??

Nakuuliza wewe mbona husemi???

Yani kampuni yangu afu unipangie wa kuwaajiri, we mpuuzi kweli
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Nafanya kaz kwa mchaga. Na hapa kazin mchaga ni mmoja tu wengine sisi ni wamakonde na wanyamwez.

Si wakat wote samaki mmoja akioza wote wameoza.
 
mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Sababu ni mahiri zaidi ktk utangazaji, sehemu zingine ni kanzu tupu hadi wauza ice cream, hili jambo ni la kweli.
 
Kwa haraka pale azam TV wakristo sizan hata kama 10% wanafika ukilinganisha na waislam
Hudhani!!! Huna hakika!! Unajua CEO wa Azam TV ni nani?
Unawajua wataalamu wa vipindi ni kina nani?
Fuatilia waratibu wa Sinema Zetu utapata jibu.
Mnapopalilia udini kumbukeni udini wenu na ukabila.
Swali: ITV, SIBUKA, TBC NA STARTV kukoje tuhabarishe pia takwimu zako.
Vigezo ni muhimu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…