Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Mwambie awauzie wa imani yake au kabila lake,kwenye kusaka wateja wote wao ila ajira upendeleo
 
Naungu mkono hoja
 
Lakini kwanini mnalazimisha kufanya kazi bakhresa, nendeni Coca-Cola, IPP, Star Media au hata Kisena group.
Mwambie aandike bidhaa anazozalisha ni kwa waislam pekee,uone kama kuna mkristo ataigusa,na ukizingatia mambo yenu mengi ni ya ki majini,hakuna mkristo atakaribia.

Jiulize kwa nini asijikite na viwanda vyake Pemba au Unguja na anavileta kwetu,sisi mnaotuita makafiri,ambao ni Tanz,Malawi,Burundi na Rwanda.

Hizo nchi nilizotaja bakhresa na udini wake,analipwa pesa ambayo imepita mikononi ya wala Nguruwe na anaipokea,ambayo mnaita najisi na kuiweka mfukon.
Halafu unaongea ufyoro,pyuuuuuuu!.
 
wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
Umesema kweli, kweli kabisa...
Yaani kweli tupu! [emoji122][emoji122]

Wakishafeli na madrasa zao wanaanzisha viwanda kisha wanapeana ajira kwa udini.

Hawa waislamu ni wajinga sana, wamesababisha wasomi wasio waislamu wanalialia hawana ajira.
 
To be honest hii mambo nishawah kujiuliza maana kila nikipita pale azam tv hata kwa mbaya....
Yan lazma ukute ni kanzu...tu.

Mkulu kaiona hii comment ur next bakhesa !!
Hapa sio uarabuni ni Tanzania hakuna udini...
 
Sheria za ajira zinapinga ubaguxi wowote wa dini,chama,kabila, jinsia, ulemavu nk.Hakuna kitu kinaitwa binafsi ukishahusha wengi.


He bu tuwekee hicho kifungu kuthibitisha hoja yako. Pia tuambie ni lini na wapi yeye Bakhressa alisema hatoaniri asiye Muislamu?
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nakumbuka shirika moja kubwa linaitwa world visheni nilikosa nafasi kwa dini yangu. Nikatamalaki. Kwa hiyo sioni ajabu kwa Bakhresa kuwabeba waislamu kuna sehemu ameona wamebanwa.
 
Kua mpole ndugu na uwe unauliza kabla ya ku generalize mambo. Tuelimishane na sio kubishana.
 
Ni kweli usemalo, na hata mimi kwakuwa nimegundua hili na kwakuwa silazimishwi kutumia bidhaa zake, kuanzia leo nitakuwa nakagua kila bidhaa kuhakikisha si ya azam, ikiwa ni ishara ya kupinga udini makazini
 
mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Kwenye media lazima achanganye ili kufunika kombe

Ila kweli azam imejaa udini ukienda kuomba kazi unaitwa shedrak wanakuangalia km kituko hivi

Ila akienda mtu kavaa balagashia kesho yake anaitwa
 
Binafsi nimekuchoka lishatambua hilo, na nimeshafanya maamuzi. Situmii au sinunui bidhaa zake. Adi siku serekari ikiamua kuichunguza hii kampuni juu ya udini.
 
sina hakika sana, ila niliwahi kusikia dereva tegemeo anayemuendesha mzee Reginald mengi kwa miaka yote hii ni muislamu.
 
Karibu asilimia 96 ya wafanyakazi wa serikali ni wakristo,je tusemeje hapo ?
Mfano NSSF, si ndio eeh.., swala hapa ni dini kuwa kigezo, ukiona hivyo serikalini basi tambua hao wameshinda kwa vigezo vya ueledi na si dini
 
Mfumo kristo uliwaacha nyuma sana waislamu, sasa Bakhresa ni muumini mzuri wa hiyo dini wacha awasaidie ndugu zake na dini yake inamuelekeza kufanya hivyo.

Huyu Firdaus inamuhusu na vile vibira.
Waneachwa nyuma wapi
Waislam wapo kila sekta wanakula nchi

We km hukusoma usiwajumuishe Waislam wote
 
Fungua kiwanda chako nawewe ajili watu wa dini yako tu

Mbona simple sana
 
Charles Hillary, Ivona Kamuntu na wengineo.
Chars hakuomba kaz walimfuata wao

Walitaka mtu mzoefu atakaeweza kukuta shirika lao na ndio mana unaona uendeshaji

Wao ni kama bbc fulan hv...hasa katika habar...

Ssa ww jipeleke uulizwe jina useme "Godfrey Denis Charles"
Baada ya Godfrey D. JUMA
 
Ungeanza na Baraza la mawaziri kwanza ukaiambia serikali else unalako jambo. Au Roho ile ya zao la Mtwara.
Sasa kama vichwa vyote vimejaa upande wa wala kitimoto ulitaka awaache na achague vilaza kisa tu anawaonea huruma?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…