Sijathibitisha chochote ila kama unayoyasema unayaamini kuwa ni ukweli basi ni mpango wa muda mrefu sana na haujaanza leo, Kifo cha Habyarimana TZ yetu inahusika kwa namna moja au nyingine kwa maana Habya alitunguliwa akitokea Dar yeye pmj na Raisi wa Urundi na intelligence walimuonya kwanza kutokwenda TZ kwani walidukuwa Infos za assassination, na huwo ndiyo uliokuwa mwanzo genocide iliyomuingiza Kagame na kupata powers kuna players wengi kuanzia CIA, French intelligence na wengineo, usisahau Museveni ni partner wa Kagame na aliyemuingiza Museveni madarakani ni Nyerere, Museveni alikuwa TZ kabla ya kufanya Mapinduzi UG, hivyo kama ni kweli usemavyo basi ni mpango wa muda mrefu wa tangu Nyerere kwani Nyerere ana asili ya Unyarwanda!