Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
Wewe Ni my mpumbavu, usiyejua seriousness inahitajika wapi and you will.never be anybody
You are just a waste for the nation and your parents
Mmmmmmmh,
Huelewi tu. Ninaelewa history ya Bahima empire kabla ya ujio wa wakoloni.
Next time ingia jukwaani kwa nidhamu na kuelewa kuwa kila aandikaye kama nilivyoandika hapo kwanza si kwamba hajui lolote.
Inawezekana ninaelewa zaidi ya aliyeleta mada.
Nimeomba aweke picha zao sasa tatizo lako ni lipi!?
Kwa mfano, nikikwambia, M7 amezaliwa Tanzania na baba yake alikuwa pale Mkoa wa kagera na huyo M7 alikuwa akija kumuona mara kwa mara utaelewa na kukubaliana na hilo!?
Na huyo Baba wa M7 na M7 mwenyewe asili yao ni koo izo hizo za Bahima empire.
Any way, vijana wa leo ndivyo mlivyo.